Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

Unajua nashangaa kusoma comments za hovyo za wale wanaomponda mtia nia wa urais

Cha msingi kama wasomi na wadau wa siasi tusikilize, tupime, tuchambue hoja zao na vipaumbele zina mashiko?

Tanzania ilipofika inapumulia mashine, chama tawala kimechoka, viongozi wake wamecost hili taifa sana, kwa rasilimali tulizonazo, fursa kibao kweli tunastahili kuishi maisha haya ya kumaskini, ombaomba.

Ifike wkt tunamchagua mtu wa uwezo wake wakwenda ikulu kufufua matumaini ya watanzania kiuchumi, kiutawala n.k tusirudie kosa la kumchagua rais eti kwa kuwa ni handsome ana maneno matamu, tuchague mtu kweli anaonekana moyoni ana shauku, na uchungu ya kwenda kufunga ukarasa wa madudu.
 
Mara nyingi watu wanatumia neno 'fulani...mpango wa Mungu' hivi huoni aibu kutaja jina hilo Takatifu sehemu isiyo muhusu,tafadhari tuwe wastaarabu. Kama msingekuwa (wanaotumia )vipofu mngekubali kuona,lakini kwa kuwa hamkubali basi upofu utadumu, there is no docility in their soul. 'usitaje bure jina la Allah'. Ni command na sio sheria unayoweza kuibadilibadili.Take care.
 
.....Sidhani kama afya yake itamruhusu...anyway, hata kama atafika y2015 hataweza hata kuongea tena...atakuwa kitandani....binafsi natamani sote tufike hiyo y2015 ili tujioneee...lakini afya ya mwenzetu EL, inasua-sua!!

Mark my words!


Mmmmh
Masuala ya uzima Mungu ndie ajuae
 
Naendelea kufuatilia kuteuliwa kwa Edward Lowassa kuipeperusha bendera ya CCM!.

Pasco
 

Nafanya mapitio, huyu mtu alizungumza nini kuhusu gesi asili, na kulinganisha na hiki kinachotokea Dodoma!.

Pasco
 

Hatimaye Jina la Edward Ngoyai Lowassa Limekatwa, jee hatua inayofuata itatokea?!. Lowassa atakubali kukatwa, ana baada ya kukatwa na yeye atakata pande lake?!.

Pasco
 

Pasco wa JF wasemaje?
 
Hatimaye Jina la Edward Ngoyai Lowassa Limekatwa, jee hatua inayofuata itatokea?!. Lowassa atakubali kukatwa, ana baada ya kukatwa na yeye atakata pande lake?!.

Pasco

thubutuuuuuu..hawezi kuhama wala kukata pande lake
 
loading.................................................................................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…