kuelekea 2015

kunyala

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
76
Reaction score
18
Kwa upande wangu nina wasiwasi mkubwa juu ya kuwepo uchaguzi mkuu 2015.kwa sababu zifuatazo:
1.mchakato wa katiba mpya bado na nchi haiwezi kuingia ktk uchaguzi bila katiba.
2.Kama tutafanikiwa kupitisha hii rasimu kuwa katiba basi Zanzibar na Tanzania bara nazo zitahitaji katiba zao tofauti kila moja hivyo tunaitaji mda tena wa kwa katiba hizo mbili.
kama nguvu kazi ya Taifa unalionaje hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…