Kuelekea 2022;nani kumrithi uhuru kati ya moi,joho,musyoka,na ruto?

Umeweka wote ukasahau kumuweka Odinga...It is pay back period...Uhuru atalipa fadhila kwa kumuweka Odinga...Just wait and see...!!
 
Umeweka wote ukasahau kumuweka Odinga...It is pay back period...Uhuru atalipa fadhila kwa kumuweka Odinga...Just wait and see...!!

Fadhila gani Uhuru kumlipa Baba Raila, Raila hajawai kukubali kushindwa Urais tangu 1992!!! ameshajaribu mara nne akawa anashindwa na kuweka kuni jioni alikuwa kampeleka Uhuru mahakani mara tatu(Supreme Court) bado Uhuru akashinda! Kapelekwa ICC kwa njama za kundi hilo, bado likashindwa, sasa fadhila gani au labda hujui historia ya Kenya na siasa zake. Uhuru atamulipa Dr Hustler yaani Dr Ruto Samoel FADHILA 2022. Kwisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…