Kuelekea 2025: Kanda ya Ziwa Msibemendwe kwa hila

shida kubwa ya kanda la ziwa ni ukosefu wa fikira, elimu nduni, wale watu wako nyuma miaka 300. umasikini ule uko kanda la ziwa na sio tu wa mali, mbali na pia wa akili, acha tu
Kumbe wewe huielewi na huwaelewi watu wa kanda ya ziwa, kwa taarifa yako watu wa kanda ya ziwa wanayo elimu nzuri tu ya kutosha na pia ukitafuta watu genius utawapata wengi kanda ya ziwa,
 
Bado mnaongelea mambo ya ukanda hapa na hizi nyuzi zimeshamiri sana humu JamiiForums na mods hawachukui hatua
 
Nikumbushe Rais wa mwisho Tanzania aliyeshinda kwa Kura ndio tuendelee na mjadala
 
Bado kuna watu wanatetea ukabila na ukanda usawa huu wa karne ya 21! Kazi kweli kweli. Haya mambo pelekeni kwa jirani zenu kule Burundi, Kenya na Rwanda hata Uganda
 
Bado kuna watu wanatetea ukabila na ukanda usawa huu wa karne ya 21! Kazi kweli kweli. Haya mambo pelekeni kwa jirani zenu kule Burundi, Kenya na Rwanda hata Uganda
Mpaka hapa nadhani unaona safari inavyokwenda.
 
Na
Nani kakwambia kwamba ushindi wa ccm unategemea kura ya mtu? Hata wasipopogia still watatangazwa washindi tu. Samia amesha sema akiw mbeya kwamba hata msipoipigia ccm, itaunda serikali tu. Tafakari chukua hatua....... Haki elimuuuuuui
 
Nani kakwambia kwamba ushindi wa ccm unategemea kura ya mtu? Hata wasipopogia still watatangazwa washindi tu. Samia amesha sema akiw mbeya kwamba hata msipoipigia ccm, itaunda serikali tu. Tafakari chukua hatua....... Haki elimuuuuuui
So unashauli siku zikifika tukapige kura au tukae nyumbani tusubili hiyo kauli ya bimkubwa itimie?.
 
Hatukubali kubemendwa
 
Hatukubali kubemendwa
Wenzenu wameanza kwa hasira kampeni za chini chini, huku mkionyeshwa aina ya mtu na binadamu walivyo, moja ni; 'huyo alikuwa ni kakangu, upande wa pili alikuwa jemedali na si msikivu, hiyo ni ishara murua mnaanza kubemendwa haste haste!.
 
Mungu atupe uhai 2025 naona kutakua na uchaguzi/kampeni ngumu kuliko zilizopita.
 
Mi naona CCM itameguka 2023! Like kundi lisilokubaliana na mama litajitenga na hapo ndo moto utawaka! Kanda ya ziwa mgombea anayetaka kushinda lazima akubalike kanda hii amabayo ina zaidi ya watu 24 milion
Si mara ya Kwanza Kwa watu kuhama CCM alihama Lowasa na sumaye sembuse msukuma na lisinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv ukimtoa samia ni mgombea gn anaweza shinda urais?? Zitto yupo bize kulamba asali huyu lzm agombee ubunge mwandiga,Mbowe??? Biashara zake zipo mukide hawezi kumpinga mama lissu huyu keshalipwa mafao na stahiki zake yupo kula shushu au mnamtegemea luhaga mpina Kanda ya ziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…