Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 407
- 178
Yaliyomtokea ronadinho na rijkard ya elekea kumkuta messi na kocha wake. STARTIMES WANAONESHA KUPITIA KITUO GANI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nawatakia kila la heri ila muwe makini na ulinzi wa golini, siamini kama Terry ataweza kasi ya messi!Haina ubishi chelsea anashinda. NI KITUO CHA KBC
Wewe utakuwa sawa na mkulo. Badala ya kuwa bungeni yupo Dc. Wewe badala ya kupeleka hii kitu isiyoeleweka jukwaa la michezo unaleta humu. Acha ubabaishaji kama ccm bana
mwana wewe ni muimbaji wa taarab nini maana upo kama jike vile.
Haina ubishi chelsea anashinda. NI KITUO CHA KBC
Yaliyomtokea ronadinho na rijkard ya elekea kumkuta messi na kocha wake. STARTIMES WANAONESHA KUPITIA KITUO GANI?