Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Wabarakatul mpendwa katika kristoSabato kareem wapedwa katika kristo
Jumapilimbalak watakatifu wa bwana
Gen Z hawana udini, hiko nimekiona, kwanza wana urafiki pasipo udini wala kabila, hawa wazee wa zilipendwa waliweza kugombanishwa kirahisi kwa udini, lakini gen z, nakataa, hapa serikali imefeli.