Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #761
Yes hapa ni kazi, kazi π na inaonekana unaiweza kazi π€£Ila ukweli tu Toka moyoni napenda wanawake wakubwa si kwasababu ya pesa zao bali ni kwasababu wengi wenu mnapenda kuchapwa haswa π kitu ambacho nakipenda
Ewaaah!!! Penda sana hivyo Mimi yaani eka eka kitandani nielekeapo sasa nitajikabizi TU kwa hili ji mama kwanza lishaniambia tuishi wote sema mi ndo sitaki tuYes hapa ni kazi, kazi π na inaonekana unaiweza kazi π€£
Hamna nilikuwa nachangamsha kijiwe ππ€£Kiongozi kumbe na wewe una matukio π π
Ila we dada umejipanga vyema kabisa kuleta nyuzi zako humuππHakukuachia mikwaruzo kweli π
View attachment 3512060
Jikabidhi tu, maisha yenyewe ndiyo haya haya!Ewaaah!!! Penda sana hivyo Mimi yaani eka eka kitandani nielekeapo sasa nitajikabizi TU kwa hili ji mama kwanza lishaniambia tuishi wote sema mi ndo sitaki tu
Sema ukweli π π ππHamna nilikuwa nachangamsha kijiwe ππ€£
Nimejipangaje tena shem π ππIla we dada umejipanga vyema kabisa kuleta nyuzi zako humuππ
Si naona hadi na hizo sticker unazoNimejipangaje tena shem π ππ
Usizue taharuki, sticker gani π πSi naona hadi na hizo sticker unazo
Umeziandaa maalum kwa ajili ya nyuzi zakoπ
Hapana, ila nikitaka kuandika kitu nazitafuta.Umeziandaa maalum kwa ajili ya nyuzi zakoπ
Huwa unaandikaje mpaka zinakujaHapana, ila nikitaka kuandika kitu nazitafuta.
Inategemea na nini nataka, mfano "couples in bed" then zitakuja hizo sticker za wapendanao kitandani.Huwa unaandikaje mpaka zinakuja
Nimefika ila nimeshindwa kuzipakuaInategemea na nini nataka, mfano "couples in bed" then zitakuja hizo sticker za wapendanao kitandani.
Nazipata - https://giphy.com/
Ngoja niangalie kwanzaJikabidhi tu, maisha yenyewe ndiyo haya haya
Unaangalia nini?Ngoja niangalie kwanza
Download hiyo app nayo inaitwa Giphy au login kwenye webpage utaweza kuzidownload.Nimefika ila nimeshindwa kuzipakua
Sawa ngoja nipakue app tuDownload hiyo app nayo inaitwa Giphy au login kwenye webpage utaweza kuzidownload.
Hii ndiyo njia rahisiSawa ngoja nipakue app tu
Hali ya maisha kwanza inaendaje yakinishinda bhas nitajikabizi tu kwake kwa mikono miwili.Unaangalia nini?