Kuelekea D9 tujikumbushe: Kuna utofauti kati ya kuichapa na kuikula

Jana nimelala na kabia kichwani, anyway nimeaanda kapati kadogo ka kuagana ma masela endapo yatatokea ya kutoke 9D unakalibishwa sana leo usiku, ukifika ukaona hapaeleweki masela hakuna usiwaze nitakuwa nimewaagiza mitungi mjini.
 
Masikini yangu mimi ,nimedindisha na sijui wapi nitaenda kukalaza haka kajamaa ,wacha niende kula mapela juu mti
 
Ni vile tu siku hizi hatuaminiani tunahofia kutekana tekana (mambo ya kiseng*)

Ila kuna laki 1 inazagaa zagaa, mshangazi au kitoto cha 2000 kije niichape.

Nafurahi malengo yangu niliyojiwekea January yalitimia mwez 10 badala ya mwez 12.
Hongera kwa kutimiza malengo, kama yupo anayehitaji atakuja PM umpe raha, ila usitangulize kuweka pesa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…