Habar, Siku chache tulisikia uongozi wa yanga ukimsimamisha meneja wao .Dismas ten kwa kile kilichodaiwa kuwavalisha wachezaj a bech la ufund jezi zisizotakiwa
Jana tena tukasikia wamemsimamisha kaz kwa mda usiojulika mpiga picha wao kwa kosa la kuingia kambini bila ruhusa.
Swali dogo tu hapo inamaana humo ndani kuna nn ambacho yanga walikuwa wanaficha kwa mpiga picha wao?
Mwenye kujua atusaidie