Kuelekea dro ya CAF kilabu bingwa hapo saa 1

live on

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
855
Reaction score
1,365
CHUNGU NAMBA 1 KUNA
Al Ahly
Wydad
Esperance
Tp mazembe

CHUNGU NAMBA 2 KUNA
Simba
Sundown
Horoya
Cs Constantine

Katika dro ni chungu namba 1 against chungu namba 2
Kwa hiyo Simba anaweza akakutana na
Al Ahly au Wydad au Esperance au
Tp mazembe

Yani dahh nawaonea huruma Sjmba

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jionee huruma mwenyewe sisi tulishasema Kun Faya Kun
 
Kwahiyo vibonde ndio wamewekwa chungu namba mbili sio? Ila tukutane na yeyote yule haina shida, kwani wote si wana miguu miwili tu au?
 
Simba hawezi draw al ahyl kwa sababu walikuwa kundi moja. Ni hizo tatu zinazobaki tu

Na hawezi kuwekwa na Wydad sababu ni wanyonge, ni hizo mbili zilizobaki 🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Waliokuwa kundi moja hawakutani. Ipo kanuni hiyo. Kuna namna wataepusha hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…