Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Yaah!kipendacho roho lazima mshale uegemee mahala flan but hizi cards nao ni msiba mwingine kwa wajukuu wa mussolinI.Umeona eeh mimi sasa hivi nimeamua kuwa neutral,ingawa deep inside my heart i wish Italia washinde
Hizi kadi zimewaathiri kisaikolojia azzuri.
Hao uliowataja ni centre backs!!Hapana mkuu wing backs ya Italy ni Barzagli na Bonucci.
De Sciglio ni namba 8 kwa Italy na ni kama Toni Kroos kwa Germany.
Unaweza ukavunjika nyongaAaaah
Ule uokoaj kaka ni shdaa
Kama jecha na matokeo ya zbar vile
Hao uliowataja ni centre backs!!
AhahahahaUnaweza ukavunjika nyonga
Mpira ddk 90..Lets wait. Ila German wana moto.Ndo imetoka hii,kurudisha ni ndoto