Hongera mkuu..Naona bahati imeangukia kwenu leo.Hehehehe
Kwa herini Italy
Zimepigwa za mwendokasi nyingi kweli!! Buffon amejitahid sana, atleast Kila penalty aliifuata!!penati za mwendokasi
Ujerumani wanacheza 4-4-2
Zuzu^2..Anarukaruka kama chura sijui alikua anawaza nini.πππππzaza=zuzu
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Mussilin5
BAK
Nawatakia safari njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wasalimien PNC 1 na Th name
EeehHongera mkuu..Naona bahati imeangukia kwenu leo.
German ana-deserve,kacheza mpira mzuri.Eeeh
Kwa kweli kwa mechi ya leo ni pure luck
Ila nmefurahi
Nipo ujerumani...yaani ni mwendo wa kubadili gia angani mpaka fainali[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Mussilin5
BAK
Nawatakia safari njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wasalimien PNC 1 na Th name
Makipa wameamua mkuuzaza=zuzu
Zuzu^2..Anarukaruka kama chura sijui alikua anawaza nini.πππππ
Hahaaaa pole mimi bado sijapoteza betPenalt zilikuwa mbovu sana ila zilikuwa nzuri kutizama nimemuonea Huruma Buffon! Respect kwa Buffon! timu zangu zote zimetoka England na Italy! nitaipa Wales tehteh!