Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Yeah penalt hazina fundi..Cheki wachezaji waliokosa,clasic players(Ozil,Muller..)Lakn penalt nazo ndo hazina fundi
Ila ujeruman wametsha
HahahahaNipo ujerumani...yaani ni mwendo wa kubadili gia angani mpaka fainali
Mimi naangalia faida tu.hahahahahah,na siku ya finali team itakayoshinda na kubeba kombe ndo utakuwa upande wake
All the way up ndugu#TeamGerman all the way up
Pole mamhahahahahah,na siku ya finali team itakayoshinda na kubeba kombe ndo utakuwa upande wake
Mpuuzi sana kama jina lake zaza=zuzuYule Zaza Mafia watamuua bora asirudi Italia
Haaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umejiwekeza kweli kweli mkuu
ameruhusu goli moja tuu...namkubali sana buffonKama mshabiki wa magolikipa sababu nilikuwa Kipa hii Pic napata pia maumivu ila Bado kipa mkali wenzake wamemuangusha.
AaahTulisema mwanzo kua leo mambo ya historia tunaweka pembeni kisha tunapiga mtu na kuwasha gari kuelekea kubeba ndoo. Yametimia.
Team German oyeee!
kuanzia sasa hivi nabaki neutral,inayoshinda ndo nakuwa upande wake,nisije pata ugonjwa wa moyo bure kuchagua team halafu isishinde.Pole mam
Hamia Iceland
Kama mimiameruhusu goli moja tuu...namkubali sana buffon
Jamaa aliingia kwa ajili ya kupiga penalty, akaishia kuruka ruka mwishowe akaruka na penalty yenyew!! itabid akatafute hifadhi nchi jirani!!Yule Zaza Mafia watamuua bora asirudi Italia
Mtaje tu Th Name wala usimuonee aibu [emoji41] [emoji41]All the way up ndugu
Tuna wakaribisha wote walio tolewa mjiunge team ushindi