uyo jamaa sijui ana #mapafu ya nn hachoki #ranieri alimwambia anaweza piga kona then akafunge mwenyewe...Ngolo Kante mpaka sasa ameshine sana
Daah! Ngolo Kante ndo time yako ya ku shine sasa unaujua...Nipo na France hadi Fainali
#Romania wana vituko sana usishangae wakifunga goli kushangilia wakavua nguo zote enzi zao wakiwa na watu kama #Jorge Hagi #Adrian Mutu #DAn Petrescu walikua wako better zaid ya sasa
siangalia game i wsh niwaone hao jamaa ila #france game za ufunguz anakuaga na matokeo bomu remember vs #Senegal world cupNadhani hawa wa sasa ni better zaidi hasa wakipata matokeo ya kushtua hapa.
Matuidi leo kapoteaFrance itabidi wafanye mabadiliko kwenye sehemu ya kiungo na Yohan Kabaye atafaa akija kusaidia sehemu hiyo.
Meneja amtoe Blaise Matuidi.
hahahauyo jamaa sijui ana #mapafu ya nn hachoki #ranieri alimwambia anaweza piga kona then akafunge mwenyewe...
ila sio kwa fowadi hii ya GiroudDaah! Ngolo Kante ndo time yako ya ku shine sasa unaujua...Nipo na France hadi Fainali
Matuidi leo kapotea