Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Angalau mdau mana Mangala sio kabisaNaimani ndio maana akamtoa koscienly mapema kumuepusha na card
Yule si dhamana yule, chiz kupita maelezoAngalau mdau mana Mangala sio kabisa
Mdau uko vizuri..Analysis ya faster umetupa
"We start the party"- Olivier giroud akishangilia goli la kwanza alilofunga kwenye dakika ya 14
"Hey pal, stay down there"- Paul pogba akifunga goli la kichwa dakika ya 34 baada ya kuruka na kumzidi beki wa Iceland Gudmundsson.
"We need to finish you before half time" -Dimitri Payet akifunga goli la tatu baada ya kupokea pasi murua kutoka kwa Antoine Griezmann.
I will chip it for ya fella! -Antoine Griezmann akivusha ngoma juu ya kipa kufunga goli la nne.
Iceland nao wakasema na sisi twajua kufunga na Sigthorsson akafunga goli safi.
"But we are still in charge of this game mate" Olivier Giroud akaongeza goli la tano kwenye dakika ya 59.
"Mkubwa tutaweza ngoma hii?" wachezaji wa Iceland wanajadiliana na Aron Gunnarsson akimtazama mwenzie.
Lets march on guys football is 90 minutes.
Iceland wakafunga goli la pili na hapa Birkir Bjarnason anakimbia na mpira kuuweka kati.
Lakini ilikuwa too late.
Safi sana Iceland mjaribu tena Euro 2020 nchini Ubelgiji.
Nipo mtani mimi nilikuwa timu Italy, hivi sasa niponipo tu.Mtani kumbe upo?jipambanue mimi England team tulifungishwa virago na hawa kina son son son son.
Labda msimu huu pale arsenal atakuwa vizuri.Kama nilivyosema mfungaji bora wa michuano hii ni giroud japo kwa arsenal ni underdog ...na France mpaka amtoe mtu damu ndio mtamtambua
Mimi binafsi nawapa nafasi PortugalKuna timu zina wachezaji wenye majina makubwa lakini sio ndio garantii ya kufanya vyema hasa linapokuja suala la Tournament kubwa kama hii ya Euro 2016 ambayo itafanyika Ufaransa kwanzia 10 June mpaka 10 July na kushirikisha jumla ya timu 24.
Leo nataka tujadiliane timu ambazo zitafika mbali yani kwanzia nusu fainali mpaka fainali kutokana na uhodari wa vikosi vyao, kujituma kwa wachezaji pamoja na makundi waliyopo.
Mimi nazipa nafasi timu hizi nne kufika mbali zaidi.
1.Ufaransa
Licha ya kuwa wenyeji tu bali pia wana kikosi cha dhahabu kama vile Pogba, Martial, Griezmann, Laporte, Coman, Benzema na wengineo wengi.
2.Ubelgiji
Kikosi kingine ninachokipa nafasi kwa kuwa timu yenye wachezaji wenye muunganiko mzuri.
3.Ujerumani
Never underestimate the Germans.
Kitu pekee ninachowapa nafasi hawa jamaa ni uwezo wao wa kuwa na wachezaji wenye kujituma sana hasa linapokuja suala la kuvaa jezi ya timu ya taifa. Wana wachezaji ambao huwa hawavumi sana katika klabu zao ila wanapafomu vizuri timu ya taifa. Rejea kuhusu mkongwe aliyestafu Miroslav klose.
4.Croatia
Watu wengi hawazungumzii kuhusu Croatia ila balaa lake ni moto wa kuotea mbali kuna mafundi wa kutosha wasioimbwa ulaya kama akina Kovacic, Modric, Rakitic na wengineo.
Karibu utuambie na wewe timu unazozipa nafasi kufanya vyema kwenye Euro 2016 pale Ufaransa.
========================================================================================================
Ratiba kamili na muda hii hapa chini
Kumbe kilio cha wengi ni harusi?basi tupeane pole hivi nimechepukia kwa wijukuu wa Adolf Hitler.Nipo mtani mimi nilikuwa timu Italy, hivi sasa niponipo tu.
Hahahaah ndio hivyo mkuu, nami nahamia kwa vijana wa Holande.Kumbe kilio cha wengi ni harusi?basi tupeane pole hivi nimechepukia kwa wijukuu wa Adolf Hitler.
Hiyo alkhamis panakuwa padogo.Hahahaah ndio hivyo mkuu, nami nahamia kwa vijana wa Holande.
HII MECHI ITALETA UADUI KWA HAWA WATU WAWILI AISEE
mkuu we ngoja uone endapo WALES itapita RONALDO atazungumziwa sana na ndo mwnzo wa beefNo, that will never happen japo media zinalazimisha kuchochea uadui kwa muda mrefu tu tangu miaka 2 iliyopita. Media za siku hizi bana sijui vipi!
mkuu we ngoja uone endapo WALES itapita RONALDO atazungumziwa sana na ndo mwnzo wa beef
Ninaona Media haswa za Waingereza wameshupalia sana hii game ya Leo, wanaamini kuwa Wales waliwatoa Ureno basi CR7 atamnunia mwenzie GB11Bifu lenu nyinyi mashabiki wa mpira wa facebook. Lakini kwa profesional players kama wale wanaoshare uwanja wa mazoezi bifu litoke wapi?
Ninaona Media haswa za Waingereza wameshupalia sana hii game ya Leo, wanaamini kuwa Wales waliwatoa Ureno basi CR7 atamnunia mwenzie GB11
I don't like such kind of journalism of Ben Hayward, Goal.com, ESPN FC and the likes. It's like they're hired to troll Cristiano in anything he does and praise the opposite side. Haipendezi kuona hata vyombo vya habari za michezo nazo zinaandika Gossip badala ya kutoa report. Kwa ujumla media za kisasa zinasikitisha sana, they have to emotionally hurt somebody everyday ndio maisha yaende. Sasa naogopa hata kumshawishi junior kuhusu kazi uandishi wa habari naona kama ni evil job tu.