Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Sio penati mkuu. Shweini hajaunawa ule mpira.
Kautoa kama Table Tennis ule ukitizama vizuri ila Kabla hapo mie sikujua nini kinaendelea, Reply ndio nikajua nini kimendelea ila Kaunawa alivyokwenda chini alitaka kujifanya kaumia kichwa ndomana Roho yake ilijuta ila wenzake hawakujua kinachoendelea yeye anajua alivhofanya, Soft ila ni Penalt.
 
France ikipita CR7 tutamkoma...
Home team atakuwa na nafasi ila CR7 atataka kuhakikisha watu hawaandiki ya Messi ndio yamemkuta CR7. kila kitu kimekuwa CR7 vs Messi sijui wote wangekuwa Euro au BoringCopaAmerica ingekuwaje?
 
Shughuli ndio hii hapa tatizo umeanza kukimbia weye kabla ya France umetangaza mapema kabla ya half-time kuwa unakwenda lala.
Mpaka hapa nobody's game anything can happen ila najua naitizama fainali leo.
 
ile penati sikuielewa ila kwenye mpira huwa naamini kuwa penati yoyote isiyo halali haifungiki lazima mpigaji akose. Lakini hii penati ufaransa wamefunga, hivyo itakuwa ni halali yao.
 
cr7 atadhibitiwa na Evra tu,hana lolote yule
katika kuangalia kwangu Mpira C Ronaldo kiboko yake alikuwa Ashley Cole ila kipindi kile jamaa Wing sana alikuwa. Ureno nafasi ndogo sana kwa France hata Mjerumani ila CR7 hatabiriki.
 
Shughuli ndio hii hapa tatizo umeanza kukimbia weye kabla ya France umetangaza mapema kabla ya half-time kuwa unakwenda lala.
Mpaka hapa nobody's game anything can happen ila najua naitizama fainali leo.
Mwanangu kaniamsha,Griez alivyofunga,hata siku ya Ireland nilienda bedroom kabisa,waliporudisha mwanangu akaniita,mwanangu ni brave sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…