Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Muda wa kwenda kulala umefika..... Niamsheni wakifika katika penalty shoot outs.
 
Wafaransa kuna wachawi huenda kweli wamefanya mambo haaah
Waafrika kwa kuamini uchawi utawajua. Kama ingekuwa uchawi nchi za Afrika na Uarabuni zingekuwa zinafanya vizuri katika kila kitu duniani.
 
Ronaldo hajawahi kuwa funga goli ufaransa toka ana zaliwa

Na haja wahi kuumia kwenye mashndano yyte ya kimataifa

Ndo bas tena


Ninavyoona mimi hii ni perfect chance kwa Portugal to silence their critics about them being a one man team. Kuumia kwa Ronaldo kutawafanya wapige mpira vibaya mno, we subiri tu. Wasiwasi wangu beki zao zikiongozwa na Pepe wanaweza kupewa RED CARD. Wafaransa wanaweza kuwa tricky wapewe hata tuta. Si unaona Griezmann kashaanza. Lakini huyu Ref namuamini sana.
 
Hata hivo bado wamecheza vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…