Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Si unaona Eder anasababisha vifaulo flaniNisha muelewa now aliona kule mbele beki za france zme relax ndo akamua dogo aka kae mbele kule
Kwangu ni mchezaji bora mdogo katika hii tournamentUkumbuke Sanchez ana miaka 18 na kwa game la leo tayari amekuwa taaban.
Hata kwa upande wa France Payet nae hajacheza sana leo.
Eeeh bhanaSi unaona Eder anasababisha vifaulo flani
Watapigwa kimoja tu cha hamu, alafu gemu inaisha
Kwangu ni mchezaji bora mdogo katika hii tournament
Hii ndiyo inatuonesha leo ushindi wetu huuHaaaa
Wamekosaje hapa tenaaa
[emoji23]
Game inaelekea 120. Ngoja nilale sababu bingwa ni Ureno.[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji23] [emoji23] hiyo besela iliyogonga vipi?
HahahaaHii ndiyo inatuonesha leo ushindi wetu huu
Deschamp anazingua!! Na yeye ndio ajilaumu.Hapo ndo utaona umuhimu wa benzema..
Angekuwepo ila majeruhi yalisababisha asiwepo kwenye kikosiDeschamp anazingua!! Na yeye ndio ajilaumu.
Walaaa Benzema pengo lake halija epoDeschamp anazingua!! Na yeye ndio ajilaumu.