Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

At least timu mwenyeji haijabeba kombe kubwa kwa mara nyingine.
 
Alkuwa wapi baada ya team yao kufungwa watu weusi tuna wivu
 
Hahahahs unaishi huko nini mkuu nikutembelee nami niwe na nguvu km Eder? ....[emoji2] [emoji2] ....Swansea wasimpoteze huyu mashine
 
Yeye ni mfaransa nadhan kaongea ki bias

Japo mie mwenyewe nafasi ya best loser si ikubal
Lakin Portugal hawakucheat mfumo
Mfumo uli wafavor wao na wameutumia kushinda
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani huu mwezi ni burudani. Anyway karibu Santiago bernabeu..
Hahaha
Uzi wa madrid uwa nakuepo sana
Hata fainali ya UEFA tulikuwa wote huko
Mimi ni shabiki wa Real japo si first team kwangu , pia cr7, so tuta kuwa tu akutana huko
 
Yeye ni mfaransa nadhan kaongea ki bias

Japo mie mwenyewe nafasi ya best loser si ikubal
Lakin Portugal hawakucheat mfumo
Mfumo uli wafavor wao na wameutumia kushinda

Waingereza wengi walikuwa wakingoja Portugal wafungwe leo maana jinsi wasivyompenda Ronaldo (kumbuka kitendo chake cha kukonyeza jicho baaada ya Wayne Rooney kutolewa kwenye mechi ya robo fainali za WC 2006).

Hivyo hata leo walikuwa wakisema kwamba Ronaldo anaigiza kuumia ili kutafuta sifa na "attention au sympathy" kwa watu.

Lakini Portugal ni moja ya timu safi sana na napenda mtindo wanaotumia kucheza mpira wao.

Ila hii ya Henry ni katika kutoa support yake kwa mwendelezo wa wivu wao kwa Ronaldo.
 
Hahahaha
Na leo nadhan ufaransa walivo ona ronaldo kaumia ndo wakajivalisha na medali kwa hisia kwa hilo wata jilaumu sana

Eder ana sema Ronaldo alimwambia nenda utafunga goli tuu
 
Embu na wewe hamia Man U tu.....unatufagilia sana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aaaagh wanawake nyie yani everlenk unamruka Anthony martial aliocheza kwenye timu na ndio mchezaji wako hivihivi? unamrukia Morinho ambaye hakupewa timu? haifai namna hiyo unaweza kumruka mpenzi wako Ed edd n eddy unamuona anavyosusa She is not whaat Loya..
 
Huyo chogo ndizi henry hampendi ronaldo unakumbuka hata kwny ballon'or ya mwaka juzi alivyotaja jina la ronaldo kwa unyonge akiwa amenuna
 
Watu walicheza na historia kuwa namba witiri ina wasaidia wafaransa
1984euro
1998wc
2000 euro
Sasa historia imepinduka mwaka huu ball shenzi kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…