Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Sikukosea hapa ... he deserve
Kweli hata mimi sikuitabilia lakini mara nyingi ilikuwa inacheza niliitakia ushindi hata iliposhinda 16 bora nilisema kombe Lao haya wanatambua vizuri Mussolin5 PNC 1 Th Name SzczesnyMussolin5 tunakushukuru kwa kuanzisha hii Page ila na uhakika wengi wetu hatukuchagua Ureno toka mwanzo ukianza kuanika utabiri wa watu humu si chini ya watu 3 wamepatia?? mie sikumuhesabu kabisa Ureno pia nimo.
Hahahah Portugal wanajua aisee. Hata PNC 1 anajua hilo.
Hahahah Portugal wanajua aisee. Hata PNC 1 anajua hilo.
Mkuu, unaweza sasa kufuta kauli yako bila shuruti.Mimi timu iliyo na wachezaji wa Barcelona ndiyo itakayotwaa ndoo na jambo la kujivunia Barcelona haina mchezaji Muingereza wala Mreno maana hz timu mbili ni washiriki haswahaswa huyo vuvuzela England aliyejaza wachezaj kibao wa man u ambao sifa za media 90% uwezo wa huyo anayepewa sifa 10%
Shukran kwa masahihisho.Umesoma HKL nn? Hizo sio namba witiri ni mamba shufwa (even number)
Nimekubali maneno yako. Ureno ilionekana timu ya kawaida ila ndo amekuwa bingwa.Kwa lugha rahisi:
Ureno ameifunga Ufaransa ambao waliifunga Ujerumani iliyoifunga Italia iliyoifunga Spain.
Mantiki: Ureno ni bora kuliko Ufaransa.
Kumbuka pia mechi kati ya Ujerumani dhidi ya Ufaransa. Timu ya Ufaransa kuna kuna wakati
ilizidiwa umilikaji wa mpira "ball possession" hadi kwa 80%. Ila mwisho wa mchezo:Ujerumani 0-Ufaransa 2.
Achekaye mwisho, ndiye mwenye kicheko bora...
Nimekubali maneno yako. Ureno ilionekana timu ya kawaida ila ndo amekuwa bingwa.
Ni kweli aisee. Nakumbuka msimu ule ilikuwa kidogo washuke daraja. Ila msimu uliofata wakawa mabingwa wa EPLMkuu, ni kweli. Ureno kama yale yale ya Leicester City.
Achekaye mwisho huwa na kicheko kirefu...
Ni kweli aisee. Nakumbuka msimu ule ilikuwa kidogo washuke daraja. Ila msimu uliofata wakawa mabingwa wa EPL
Msuli tembo majibu sisimizi...(Ufaransa hiyo)WA MWISHO KUFELI KAWA WAKWANZA KUFAULU
Kama utani tu. Leicester city hao mabingwaLinganisha:
Leicester City:Walinusurika kushuka msimu uliopita. Wakaibukia ubingwa wa EPL msimu huu.
Ureno: Almanusura wasifuzu. Wakanusurikia kwa tatu bora. Wakafanya bidii,sasa wameandika historia. Mabingwa Euros 2016.
Kama utani tu. Leicester city hao mabingwa
Ureno pia