Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Jumanne 14 saa nne usiku ndiyo anachezaureno vp?
anakipga na nani? hivi kikosi chake kweli kimesimama?Jumanne 14 saa nne usiku ndiyo anacheza
Ratiba ipo mwanzo wa thread mkuuanakipga na nani? hivi kikosi chake kweli kimesimama?
England kwa moyo mweupe kabisa...Haya sasa saa 4:00 Usiku
England Vs Russia
Watoto wa Malkia watatoboa??
mkuu three lions must win this game and they have every reasons to proove themselves to the whole world, its now or neverHaya sasa saa 4:00 Usiku
England Vs Russia
Watoto wa Malkia watatoboa??
Umejuaje kama nawaombea njaa? mimi nipo England mbonamkuu three lions must win this game and they have every reasons to proove themselves to the whole world, its now or never
japokua najua wewe unawaombea njaa watoto wa malkia
Iceland ... kuhusu kikosi ni all pass to CR7 [emoji41] [emoji41] [emoji41]anakipga na nani? hivi kikosi chake kweli kimesimama?
[emoji2] [emoji2] nimeku-mark team three lions ..... halafu nasikia leo ni birthday ya malkia sijui kweli.... maana watamuangusha kweliUmejuaje kama nawaombea njaa? mimi nipo England mbona
Nipo Ujerumani ila kwa mchezo wa leo nipo England!![emoji2] [emoji2] nimeku-mark team three lions ..... halafu nasikia leo ni birthday ya malkia sijui kweli.... maana watamuangusha kweli
Hahaaa sawa ila sina kumbukumbu kama England washawahi kushinda game yao ya kwanza kwenye hizi big tournament ..... so nahisi ni kipigo ama drawNipo Ujerumani ila kwa mchezo wa leo nipo England!!
Historia ishawaua...Hahaaa sawa ila sina kumbukumbu kama England washawahi kushinda game yao ya kwanza kwenye hizi big tournament ..... so nahisi ni kipigo ama draw
Ngoja tuwaone leoHistoria ishawaua...