Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

...where is Spain?!, wale jamaa ni hatari hua wanafufuka wakati ambao huwategemei kabisa,wanashinda bao moja moja unashtukia wako fainali.
...Italy nao,wale jamaa siku zote huwa ni wagumu,wakikufunga moja hurudishi,nao sitashangaa wakifika fainali...naona Ubelgiji wanapewa nafasi,ila kwangu mimi sioni wale wachezaji wakiwa na experience ya kutosha kwenye mashindano ya kimataifa,hivyo wakitoka mapema sitashangaa!
....nimeona skysports,kumbe timu tatu kwenye kila kundi zitafuzu kwenda hatua ya mtoano,sijapenda hii,naona vibonde vingi vitaenda hatua ya mtoano hivyo game nyingi kukosa msisimko unaotakiwa.
All in all,let us wait and enjoy the 2016 ueros..!!
 
Gk: Fraser Foster
Defence: Klye Walker, Chris Smalling, John Stones, Danny Rose
Midfield: Danny Drinkwater, Eric Dier, Delle Alli
Attack: Jamie Vardy, Harry Kane, Danny Welbeck

Subs: Jack Burtland, Garry Cahill, Ryan Bertrand, James Milner, Ross Barkley, Jordan Henderson, Daniel Sturidge


Hii timu mnaiona ordinary ila ina Chemistry ambayo ni tishio

I go for England!!!!!
 
Kwa Timu hiyo hatuwezi kuibeza England tatizo linakuja unamuona walcot ndani welbeck nje, roon ndani vardy nje, cahil ndani stone nje, starling ndani Kane nje, Drinkwater nje barkely ndani Hawaendi kokote
 
Kwa Timu hiyo hatuwezi kuibeza England tatizo linakuja unamuona walcot ndani welbeck nje, roon ndani vardy nje, cahil ndani stone nje, starling ndani Kane nje, Drinkwater nje carlic ndani Hawaendi kokote
mimi naamini Roy ana akili sana kuweza kupambanua mambo....ili ushinde michuano yeyote mikubwa form ya wachezaji kwa wakati huo inamatter sana, huwezi kumpanga Walcott mbele ya Welbeck wakati Arsenal anawekwa bench na Welbeck kwa wakati huu. Huwezi kumpanga Rooney au Sterling mbele ya Jarmie Vardy au Harry Kane coz ndo watakuwa ndo kwanza wanatoka kwenye rehabilitation ya injury zao wakati una wachezaji ambao ni top 2 scorers kwenye EPL na wako kwenye form nzuri kabisa kwenye carrier zao
 
Kwa Timu hiyo hatuwezi kuibeza England tatizo linakuja unamuona walcot ndani welbeck nje, roon ndani vardy nje, cahil ndani stone nje, starling ndani Kane nje, Drinkwater nje barkely ndani Hawaendi kokote
pia kwa Cahill na Stones sioni tatizo hapo....yeyote akianza itakuwa ni good option
 
Unachokisema ni kweli tatizo mawazo ya kocha na sisi mashabiki tofauti kila shabiki wa england angependa kikosi hicho
 
Tuko pamoja sana ila mbona simuoni wazza
 
Unachokisema ni kweli tatizo mawazo ya kocha na sisi mashabiki tofauti kila shabiki wa england angependa kikosi hicho
Roy nae anajua nini waingereza wanataka kukiona mkuu....kama unavyojua waingereza wanakuchoka mapema pale ambapo unaleta umuch-know
 
Tatizo la England kocha hana maamuzi. Team anapangiwa na FA na Pundits wa Media.
 
Captain Rooney
Up to now Rooney bado yupo injury....itakuwa ngumu kwa yeye kucement nafasi yake kwenye starting 11 kikosi cha England...however uwepo wake kikosini utaongeza motisha kwa wachezaji wengine na pia ataongeza uzoefu pale ambapo mbinu za mchezo zitakuwa zimefail na anahitajika mtu wa kuweka uzoefu kuyapata....
 
Jamaa muhimu yule. Ngoja tuone akipona. Kuna watu wanaichukulia poa England ila mimi naamini tutafanya maajabu.

Halafu sterling ameumia mpaka mwisho wa msimu
 
Jamaa muhimu yule. Ngoja tuone akipona. Kuna watu wanaichukulia poa England ila mimi naamini tutafanya maajabu.

Halafu sterling ameumia mpaka mwisho wa msimu
Kila tournament huwa wanasema watafanya maajabu...

World cup 2006.... walikuwa kina lampard , gerrard, joe cole , rooney, Beckham, Owen, owen hagreaves hawakufanya maajabu... sembuse kina welbeck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…