NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Naam Khalid Aucho ataukosa mchezo wa fainali dhidi ya USM ALGER kutokana na kadi za njano mfululizo.
"Tunasikitika kumkosa Khalid Aucho kwenye kikosi lakini tumeongea naye atatumika kuleta hamasa kwenye timu" By Big Brain coacher (BBC) Prof Nabi.
Je wanayanga, ni nani anaweza kuziba gape la Khalid Aucho "the tank" Kati ya Hawa vitasa Moto Mudathir Yahya, Zawadi Mauya na Abubakari sure boy?
Nawasilisha.