NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hautoamini macho yako kitakacho tokea pale kwa mkapa.Habib habib thalatha bin thiful
USM ALGER BA CHAMPION
Na ikawe heri kwetu (wanayanga)Nabi alivyo atakuwa amewasoma USM vizuri na kupata mtu sahihi wa kuziba pengo la Aucho.
Mwarabu anakula
View attachment 2637683
Yannick bangala kutombo namba sita nane Mudathiri yahya AbasiNaam Khalid Aucho ataukosa mchezo wa fainali dhidi ya USM ALGER kutokana na kadi za njano mfululizo.
"Tunasikitika kumkosa Khalid Aucho kwenye kikosi lakini tumeongea naye atatumika kuleta hamasa kwenye timu"
By Big Brain coacher (BBC) Prof Nabi.
Je wanayanga ni Nani anaweza kuziba gape la Khalid Aucho "the tank" Kati ya Hawa vitasa Moto Mudathir Yahya, Zawadi Mauya na Abubakari sure boy ??
Nawasilisha.
Sawa na ikawe hivyoYannick bangala kutombo namba sita nane Mudathiri yahya Abasi
Bila kupepesa hapo Yanick Bangala si tu anakwenda kuziba pengo Bali anaongeza na jino la dhahabu kabisa na mtasamsahau Aucho leo.Naam Khalid Aucho ataukosa mchezo wa fainali dhidi ya USM ALGER kutokana na kadi za njano mfululizo.
"Tunasikitika kumkosa Khalid Aucho kwenye kikosi lakini tumeongea naye atatumika kuleta hamasa kwenye timu"
By Big Brain coacher (BBC) Prof Nabi.
Je wanayanga ni Nani anaweza kuziba gape la Khalid Aucho "the tank" Kati ya Hawa vitasa Moto Mudathir Yahya, Zawadi Mauya na Abubakari sure boy ??
Nawasilisha.
Kwa namba nane job sijawahi kuona akicheza hiyo nafasiBila kupepesa hapo Yanick Bangala si tu anakwenda kuziba pengo Bali anaongeza na jino la dhahabu kabisa na mtasamsahau Aucho leo.
Mudathir ndio anakwenda kucheza namna ya Bangala, pia msisahau Dickson Job ni kiraka pia, leo ndio mtakubali Nabi ni Profesa.
Hapo kuna Mudhathir na sure boy.Kwa namba nane job sijawahi kuona akicheza hiyo nafasi
Kikosi kimetoka Mudathir Yahya ndiyo kaanzaHapo kuna Mudhathir na sure boy.
Upo sahihi mkuuuUtabiri wa kikosi Cha yanga leo:
1. Diara, 2.job, 3.Lomalisa, 4.Bacca, 5.Mwamnyeto, 6.Bangala, 7.Tuisila, 8.Mudathiri, 9.Mayele, 10.Aziz k, 11.Musonda