Kuelekea hatua Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC dhidi ya Al Ahly SC 'Hatushindwi'

Mkuu..Ile ni Kampuni tayari kwahivyo ni kiasi cha kutangaza zabuni wakajitokeza.

Simba ilipitia kipindi kigumu wakati ninyi mpo na Manji lakini haikufikia kama Yanga, mchango mpaka uwanjani..!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tambwe alikuwa analipwa mshahara laki saba mikiani..wakati Yanga anachukua mamilioni..Ndio maana hamkuyumba mishahara 40m kwa mwezi..
hata pesa ya mlangoni inatosha
 
Endeleeni kuhangaika, lakini nakukumbusha tu kuwa mlianza kujipendekeza kwa Mbabane Swallows, Nkana, JS Saoura na Vita na hamkunufaika na chochote

Kwa sasa Al Ahly...Hivi hamuoni aibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zile nilikwambia utapigwa tano na ukapigwa tano kweli Leo nimekutabilia kuwa utapigwa NNE na utapigwa NNE kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…