Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Sina shaka na hilo maana hata page ya Yanga inaandika zaidi juu ya simbaOoh. Basi nikipata Chance nitakuwa nakupa updates. [emoji12][emoji12][emoji12]
Ingekuwa hivyo basi ile round ya kwanza mngetufunga lakini cha ajabu mkaambulia kosakosa.
ππππ sawa.Sina shaka na hilo maana hata page ya Yanga inaandika zaidi juu ya simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaenda kuangalia wote sioSawa kuwepo. Bado masaa 4 na dkk chache.
Round hii hatutokubaliIngekuwa hivyo basi ile round ya kwanza mgatufunga cha ajabu mkaambulia kosakosa.
Hii ijayo pia yatarajieni sababu tuyawavuruga kisaikolojia kama alivyofanya Ajibu.
Hahaaaa. Unajiweza?
Mtaandamana au kung'oa viti tena? ππ
Tutajihami na mingumi yenuMtaandamana au kung'oa viti tena? [emoji12][emoji12]
π€£π€£π€£π€£ noma sana
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana
Ngoja nikautafute uzi kama ushawekwa nikwite Mtoto.
Ninayaweza yote unayoyaweza [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaa. Unajiweza?
Sababu kama moyo mdogo Tviini ndio saizi yako Mtani. [emoji12][emoji12][emoji12] ili usije zimia
Heeee. π³π³
Hapa umetisha mkuu[emoji1]