Shunie vijana wamejituma, wana kazi kubwa ya kung'oa kisiki kilichomshinda yanga jana shark next roundHongera zao mbao
Wamejituma sana ngoja niwaone vijana wangu mnyamaaaShunie vijana wamejituma, wana kazi kubwa ya kung'oa kisiki kilichomshinda yanga jana shark next round
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyama anampiga leopard 3-1Wamejituma sana ngoja niwaone vijana wangu mnyamaaa
Wouzer wouzerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mtoto halali na hela mzee baba umepotea kama yanga alivyopotea jana
Nipo kwenye uzi wa leo@Mtoto halali na hela mzee baba umepotea kama yanga alivyopotea jana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema wanakosa tu
Upo makini mtananga haukupiti, wewe ndiyo manzi wa kuoa yani interest za mume nawe humo humo kudadeki, mpira ukianza unamwambia mume leo ukishinda unakulaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Okwiiiiiiiiiiiiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila tukifungwa tu nguvu zinaniishaUpo makini mtananga haukupiti, wewe ndiyo manzi wa kuoa yani interest za mume nawe humo humo kudadeki, mpira ukianza unamwambia mume leo ukishinda unakulaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amsaidie tu
Sasa inabidi iwe vice versa wewe upande wako ukishinda ndiyo unampa hapo hamtajutia.... Maana sisi wanaume ni all weather game linaenda kama kawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila tukifungwa tu nguvu zinaniisha