Nafurahi Umzima. Pole.
Ndio haijawa Yanga sasa Mtani. 🙏🙏🙏Niko njema mkuu Shadeeya endelea kufurahi, lakini ingekuwa Yanga maafa yangezidi mno[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watuambie[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] Umenisabaisha nicheke mkuu..Safi sana, hivi kule Shinyanga ulienda Yanga B?
Sent using Jamii Forums mobile app
Old is Gold[emoji3][emoji3][emoji3] hii yote ni katika kujipoza machungu. Yaani mnakumbusha hadi mambo ya mwaka 47.
Hapo sawa tuko pamoja. Kila timu na home advantage yake.Si la kusema mkuu. Nimefungwa narekebisha makosa ili kuendelea na michezo mingine..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti eeeee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mchokozi wewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] NIMEONA HATA MIE
Mwenzio presha imeshashuka, ila hata nyie taarifa zenu tunazo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] NIMEONA HATA MIE
Mtani kwani nyie mmefanya vizuri basi [emoji23][emoji23][emoji23] hatuchekaniUjue na mie nashangaaa. Ila niliwaambia juzi.
Wakija kwa mchina hawatapumuaPole sana. Ndio mpira huo na nyie warogeni wakija kwa Mchina.
🤣🤣🤣Mchokozi ndiooo. Zile tambo zako za juzi unadhani mchezo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mchokozi wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalijua hilo mbona japo siku zote kikubwa ndio kinaonekana sana. Tanooo. Hahahaaaa
Nitakuwa mshabiki wao siku hiyo
Mtani tunachekana banaa. 🤣🤣🤣Mtani kwani nyie mmefanya vizuri basi [emoji23][emoji23][emoji23] hatuchekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mzew baba unafurahisha sana..Ni muda sahihi Simba kurudi kileleni mwa kundi
Vita Ni wazuri Ila Simba Ni wazuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtani wewe maumivu yamepoa?Mtani tunachekana banaa. 🤣🤣🤣