Kuelekea hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, AS Vita Club dhidi ya Simba SC, Injinia Ngapi?

Yamepozwa na zile bao tano za Mkongo.[emoji3][emoji3][emoji3]
Unajua inakua ni kama vile darasani ukifeli unaangalia yule anaeshika namba moja wakati wote nae vipi unakuta nae kafeli basi unafurahia na kurukaruka lakini unasahau wote mmefeli big time [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaaa. Noumer sana.

Eti "tano ni goli basi" kweli kufungwa ni kitu ingine Mtani. Wakati mlivyomfunga Yanga mliziona nyiiiingi. [emoji28][emoji28][emoji28]

Haya bana Mtani Siku njema.
Katika kijiliwaza tano sio goli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu hukoooo. Naona umeanza. 🀣🀣🀣🀣

Nilipanga nikucheck jioni Mtani ili kama kununa tunune wote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mmeshazoe presha nyie watu hhahahaha, hicho kitimu msimu uliopita simba tulikitoa hatua za mwanzo kabisa, jana mmeharibu hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…