Kuelekea hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika JS Saoura dhidi ya Simba SC, Show ya Kibabe!

Kuelekea hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika JS Saoura dhidi ya Simba SC, Show ya Kibabe!

Yaaaani hiyo gemu akitoa hata sare tuuu baaasi wale wakata viuno wa DRC tutawasukumia ndaniiii tuuuu kwa vyovyote mnyama aende 8 bora Africa. "Simba Nguvu Moya" in Zahera's Swagga
 
hii mechi simba watavunja rekodi ya kufungwa magoli mengi sio chini ya 6 waalgeria wameipania sana
 
Timu yetu iliwasili salama Dubai na usiku wachezaji walipata chakula na leo inaanza safari kwenda Algeria..This Is Simba SC..NguvuMoja
IMG_20190306_085131_715.jpeg
IMG_20190306_085149_550.jpeg
 
Back
Top Bottom