Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaaaa. Umeamka poa lakini Mtani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaa. Umeamka poa lakini Mtani?
Hahahaaaaa. Umeamka poa lakini Mtani?
Naisubiria Jumamosi ijayo Mtani nione mnavyocharazwa.Mtani kumekucha salama kabisa.
Kauli mbiu ya sasa: Kila mtu ashinde nyumbani.
Naisubiria Jumamosi ijayo Mtani nione mnavyocharazwa.
Ata me pia sijamboMtani mi sijambo [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ushaanz umbea asubuh yote hiiMtani mi sijambo [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Wanaujua ukwel ila wabishMtani kumekucha salama kabisa.
Kauli mbiu ya sasa: Kila mtu ashinde nyumbani.
Napajua sana tu.Mtani kwa Mchina unapajua?
Kweliii? 😂😂😂 Kwa kipigo kile najua waumwa saa hizi.
Yaah. Umbea kwa Afya.
Napajua sana tu.
Mjazane kama kawaida maana najua kiingilio kitakuwa buku mbili kama ile mechi na Al Ahly.