Kuelekea Jumamosi Upande Mmoja Taaban

Kuelekea Jumamosi Upande Mmoja Taaban

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kuna upande mmoja wa hizi timu mbili zitakazokutana tarehe 11 aisee wamechanganyikiwa... Hawana imani na timu yao hawana hamu na hii Derby... Yaani wanajitia nguvu tu lakini kiukweli kwao ni kama picha la kutisha linaenda kuwatokea kuelekea Jumamosi...

Jamani tuwaombeeni... Hali ni mbaya.
 
Labda wawe uto lkn simba kwao mechi hii ni kama mechi zengine tu za ligi mfano na geita gold, kmc, mbeya kwanza etc. Wasi wasi wao mkubwa ulikuwa juzi kwenye kombe la shirikisho kwa maana kule makundi tu wamelamba million mia sita,,,
 
Kuna upande mmoja wa hizi tim mbili zitakazokutana tarehe 11 aisee wamechanganyikiwa...hawana imani na timu yao hawana hamu na hii Derby...yaani wanajitia nguvu tu lakini kiukweli kwao ni kama picha la kutisha linaenda kuwatokea kuelekea jumamosi...
Jamani tuwaombeeni...hali ni mbaya.

Nakubali utopwinyo tuna hali mbaya sana, tukipona sana ni nne bila tunapigwa!
Kambini asubuhi msaidizi na mkuu hakieleweki, msukule anachekea chooni tu!
 
Kuna upande mmoja wa hizi tim mbili zitakazokutana tarehe 11 aisee wamechanganyikiwa...hawana imani na timu yao hawana hamu na hii Derby...yaani wanajitia nguvu tu lakini kiukweli kwao ni kama picha la kutisha linaenda kuwatokea kuelekea jumamosi...
Jamani tuwaombeeni...hali ni mbaya.
Weka akiba ya maneno, mkuu
 
Tatizo lenu utopox hili...

FB_IMG_1638947126546.jpg
 
Kuna upande mmoja wa hizi timu mbili zitakazokutana tarehe 11 aisee wamechanganyikiwa... Hawana imani na timu yao hawana hamu na hii Derby... Yaani wanajitia nguvu tu lakini kiukweli kwao ni kama picha la ku
Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana
By Mzilankende
tisha linaenda kuwatokea kuelekea Jumamosi...

Jamani tuwaombeeni... Hali ni mbaya.

 
Simba Washaanza Kujistukia Tayari Na Wala Hawajatajwa [emoji23] , Tunasubiri Mvua Ikolee Vizuri Tuone Rasmi Panapovuja.
 
Back
Top Bottom