ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwani imetajwa Simba hapo?Labda wawe uto lkn simba kwao mechi hii ni kama mechi zengine tu za ligi mfano na geita gold, kmc, mbeya kwanza etc. Wasi wasi wao mkubwa ulikuwa juzi kwenye kombe la shirikisho kwa maana kule makundi tu wamelamba million mia sita,,,
Na ndio maana nikasema labda,, sawa!Kwani imetajwa Simba hapo?
Kuna upande mmoja wa hizi tim mbili zitakazokutana tarehe 11 aisee wamechanganyikiwa...hawana imani na timu yao hawana hamu na hii Derby...yaani wanajitia nguvu tu lakini kiukweli kwao ni kama picha la kutisha linaenda kuwatokea kuelekea jumamosi...
Jamani tuwaombeeni...hali ni mbaya.
Weka akiba ya maneno, mkuuKuna upande mmoja wa hizi tim mbili zitakazokutana tarehe 11 aisee wamechanganyikiwa...hawana imani na timu yao hawana hamu na hii Derby...yaani wanajitia nguvu tu lakini kiukweli kwao ni kama picha la kutisha linaenda kuwatokea kuelekea jumamosi...
Jamani tuwaombeeni...hali ni mbaya.
Ndio maana amesema 'labda'Kwani imetajwa Simba hapo?
Mbona mnajishuku imetajwa timu yoyote hapo?Watu wapo kimataifa huko kwenye hadhi na pesa wewe kalia umbea tu wa kitopolo.
[emoji23][emoji23]Sasa hivi ukifungua uzi hata kuongelea UEFA.. Makolo wanakuja kukushambulia
Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa SanaKuna upande mmoja wa hizi timu mbili zitakazokutana tarehe 11 aisee wamechanganyikiwa... Hawana imani na timu yao hawana hamu na hii Derby... Yaani wanajitia nguvu tu lakini kiukweli kwao ni kama picha la ku
tisha linaenda kuwatokea kuelekea Jumamosi...
Jamani tuwaombeeni... Hali ni mbaya.
Hahaaaa,hatari sanaHii inatwa mchecheto, mtu unajistukia hata Kama hujatajwa.
Watu wapo kimataifa huko kwenye hadhi na pesa wewe kalia umbea tu wa kitopolo.
Humu tunajuana, utopolo, mazuzu, wahuni wanajulikana. Hilo jamaa ni utopolo limekaa kwenye kiti jua la utosi la Dar halafu linaota.Kwani imetajwa Simba hapo?