Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
- Thread starter
-
- #21
Nimeku-take note mkuu S A Ngolilo,nitafatilia kuona kama kweli umejitoa hapa JF baada ya J'pili,maana hao Nkana watafungika tu.KAMA SIMBA ITAITOA NKANA FC SIKU YA JPILI BASI MM NITAJITOA HAPA JAMII FORUMS.. KWA NILIVYOONA GAME YAO.. WALE JAMAA WAKO WELL ORGANIZED, WELL TRAINED, WELL MOTIVATED... Pia jamaa wanaweza kutandaza soka safi lisilo na figisu zozote... VIUNGO WAO WOTE NI BORA KULINGANISHA NA HAWA WA SIMBA FC.. TUUJADILI MPIRA SIO HISTORIA...
Simba haijawahi kufungwa wala kutoa droo na nkana Dar,ila na nkana haijawahi acha ipiga simba chini ya 4 kama sikosei wanapokuwa kwao. Hivyo usikariri mpira unabadilika. Mabadiliko yalotokea Kitwe yaweza tokea dar,hasa ukizingatia simba hii haifanani kabisaaaaaaaa na ile ya Siang'a wala ile ya 94. Simba hii uwezo ni mdogo sana,na ninaamini Nkana wanakuja kutoa droo au simba hii ya Wazee inakufa hapa hapa.Zingatia:Kabla sijaenda mbali zingatia hili-katika mara zote walizokutana Simba SC haijawahi kuifunga Nkana au kutoa droo pale Kitwe,Zambia.Halikadhalika NKANA HAIJAWAHI KUIFUNGA au KUTOA DROO NA SIMBA HAPA NYUMBANI,TANZANIA.Nkana amekuwa akisonga mbele kutokana na kufunga magoli mengi akiwa kwenye "machinjio" yake ya Kitwe.
Mwaka 1994 nilikuwepo Uwanja wa Taifa wa zamani,siku hizi mnauita Uwanja wa Uhuru,kwenye mtanange wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba vs Nkana Red Devils.Enzi hizo Nkana ilikuwa timu hatari kule Zambia sambamba na Mufulira Wonderers,hawa akina Zanako sijui Zesco tumeanza kuwasikia juzi juzi tu.
Ikumbukwe,Simba hii ya mwaka 1994 ilikuwa imeingia kwenye Robo Fainali ya mashindano hayo ya CAF Champions League.Na mwaka mmoja nyuma,1993,ilikuwa imecheza Fainali ya kombe la Shirikisho CAF na kufungwa na Stella Abdjan ya Ivory Coast.Simba ya miaka hiyo ilikuwa moooto wa kuotea mbali ikiwa na wachezaji mahiri kama Mohammed Mwameja,Kasongo Athumani,Deo Mkuki,George Masatu,akina Malota Soma "Ball Juggler" ,Edward 'Edo' Chumila,n.k.
Simba hiyo haikucheza na Nkana FC ya kitoto,bali ilikuwa Nkana [emoji91] vile vile.Ilikuwa na wachezaji nyota kama Joel Kangwa Bwalya,Mathias Mulenga,Harrison Chongo,Mordon Malitoli na mdogo wake Kenneth Malitoli (captain).Nyota hao wa Nkana Red Devils walikuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya Zambia,kilichocheza fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Nigeria mwaka huo wa 1994,na Super Eagles kubeba kombe kwa ushindi wa magoli Nigeria 2 - 1 Zambia,magoli yote mawili ya Nigeria yakifungwa na mchezaji hatari EMMANUEL AMUNIKE (huyu huyu tunayemdharau leo hapa Bongo),huku lile la Zambia likifungwa na beki ELIJAH LITANA.
Hebu tazama vikosi vikali vilivyocheza kwenye Fainali ya Kombe la Mataifa ya Africa 1994,na uone wachezaji wa nyota was Nkana (in bold) walivyopambana kiume na nyota wa Nigeria.
Nigeria: Peter Rufai,Uche Okwechukwu,Uche Okafor,Ben Iroha,Augustine Eguavoen,Emmanuel Amunike, Austin 'Jay Jay' Okocha,Sunday Oliseh (captain wa ukweli)Finidi George,Daniel Amokachi na Rashid Yekini.Benchi walikuwepo Samson Siasia,Nduka Ugbade,kijana Mutiu Adepodju,n.k
Mwaka huo Rashid Yekini(RIP) ndo alikuwa mchezaji bora wa AfCON.Atakumbukwa zaidi kwa yale ma-acrobatics yake ("tik - tak") kama ya Ibrahim 'Cadabra' Ajibu.Maana Yekini alikuwa anayapiga sana hadi kero.
Zambia:James Phiri,Harrison Chongo,Elijah Litana,Mordon Malitoli,Aggrey Chiyangi,Mathias Mulenga,Evans Sakala,Kenneth Malitoli,Joel Kangwa Bwalya,Zeddy Saileti,na mtaamu mwenyewe Kalusha Bwalya.Huku benchi akiwepo Linos Makwaza,Johnson Bwalya,n.k (na hawa akina Bwalya we wasikie tu!..Naamini mmoja mlimwona juzi kule Kitwe,na Jumapili atakuwepo).
Simba iliingia uwanjani siku hiyo ikiwa na lengo la kufika mbali na kufuta mashabiki wao machozi,kutokana na kadhia ya kufungwa kwenye fainali ya kombe la CAF. "Washkaji" wengi wa kijiwe chetu cha Squad pale mitaa ya Wailes,Temeke mwisho na Kitomondo tulikuwepo kuwatazama Masela wenzetu akina George Masatu,Ramadhan Lenny (RIP),Edward Chumila,na George Lucas "Gazza" wakiwapiga 2 - 1 Nkana FC.
Pale kijiweni (maskani) kwetu SQUAD ndo wazamiaji wengi/mabaharia walipokuwa wakitokea,wengi walizamia kwenda Italy (mfano;Salum Mnyusi aliyefia Cicily,Italy mwaka 1998),Spain,Greece,nk.Hapo story zilikuwa za Ulaya Ulaya tu,kando ya hapo ni Soka.Na wahudhuriaji wa kijiwe hiki waliokuwa wachezaji wa Simba,akina Lenny,Chumila,Masatu,Fikiri Magoso,nk walikuwa wakitupa story za soka,has a zile mechi zao za CAF walizocheza nje ya nchi.Na walikuwa wameahidi LAZIMA WAWAPIGE NKANA!Na ndivyo walivyofanya kwa kuwalamba 2 - 1 home,ingawa walienda kufungwa 4 - 1 kule Kitwe,Zambia kwenye mechi ya marudiano.Ramadhani Lenny alitueleza magoli yale 4 yalitokana na 'figisu' kibao walizofanyiwa ndani na nje ya uwanja.
NINI NATAKA KUSEMA HAPA?
1.Simba ya leo inafana kiasi ya Simba ya 1994 ila Nkana FC ya leo haifanani na Nkana ya 1994,ndo maana waliishia kuifunga Simba 2 - 1 juzi (hii si kawaida kwa Nkana wawapo kwenye "machinjio" yao ya Kitwe).
2.Kuna marekebisho machache yanapaswa yafanywe na benchi la ufundi ili kuifanya Simba ya jumapili,iwe kama/zaidi ya ile Simba ya 1994.Nashukuru kocha Patrick Aussems ameshayashughulikia mapungufu mengi ya mechi iliyopita.
3.Keshokutwa jumapili Simba itashinda na kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Kama huamini hili...rudia kusoma maelezo yangu ya utangulizi - Simba haijawahi kufungwa au kutoa drop na Nkana Red Devils kwenye home soil,na record hii itaendelezwa keshokutwa.Nkana wanaijua habari hii,na ndo maana mashabiki wao hawakufurahia matokeo yale,wachezaji wao walinyong'onye mno,ndo maana Hassan Kessy akavaa Uzambia na kuwatia moyo wenzake (Huyu ndo alikuwa motivated baada ya mechi ukilinganisha na wenzake).
All of the best odds are with Simba,and the bad omen with Nkana FC plus their Zambian brothers from "the Desert".
Mnyamaaaaaaaaaa...[emoji83][emoji83][emoji83]
Kusahihisha mwaka 1994 mechi ya kwanza Simba alianzia Zambia ambapo alifungwa 4-1. Mechi ya marudiano Taifa Simba alishinda 2-0 na sio 2-1. Mpaka Half Time Simba walikuwa wanaongoza 2-0 . likawashinda goli la tatu kipindi cha pili.Zingatia:Kabla sijaenda mbali zingatia hili-katika mara zote walizokutana Simba SC haijawahi kuifunga Nkana au kutoa droo pale Kitwe,Zambia.Halikadhalika NKANA HAIJAWAHI KUIFUNGA au KUTOA DROO NA SIMBA HAPA NYUMBANI,TANZANIA.Nkana amekuwa akisonga mbele kutokana na kufunga magoli mengi akiwa kwenye "machinjio" yake ya Kitwe.
Mwaka 1994 nilikuwepo Uwanja wa Taifa wa zamani,siku hizi mnauita Uwanja wa Uhuru,kwenye mtanange wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba vs Nkana Red Devils.Enzi hizo Nkana ilikuwa timu hatari kule Zambia sambamba na Mufulira Wonderers,hawa akina Zanako sijui Zesco tumeanza kuwasikia juzi juzi tu.
Ikumbukwe,Simba hii ya mwaka 1994 ilikuwa imeingia kwenye Robo Fainali ya mashindano hayo ya CAF Champions League.Na mwaka mmoja nyuma,1993,ilikuwa imecheza Fainali ya kombe la Shirikisho CAF na kufungwa na Stella Abdjan ya Ivory Coast.Simba ya miaka hiyo ilikuwa moooto wa kuotea mbali ikiwa na wachezaji mahiri kama Mohammed Mwameja,Kasongo Athumani,Deo Mkuki,George Masatu,akina Malota Soma "Ball Juggler" ,Edward 'Edo' Chumila,n.k.
Simba hiyo haikucheza na Nkana FC ya kitoto,bali ilikuwa Nkana π₯ vile vile.Ilikuwa na wachezaji nyota kama Joel Kangwa Bwalya,Mathias Mulenga,Harrison Chongo,Mordon Malitoli na mdogo wake Kenneth Malitoli (captain).Nyota hao wa Nkana Red Devils walikuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya Zambia,kilichocheza fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Nigeria mwaka huo wa 1994,na Super Eagles kubeba kombe kwa ushindi wa magoli Nigeria 2 - 1 Zambia,magoli yote mawili ya Nigeria yakifungwa na mchezaji hatari EMMANUEL AMUNIKE (huyu huyu tunayemdharau leo hapa Bongo),huku lile la Zambia likifungwa na beki ELIJAH LITANA.
Hebu tazama vikosi vikali vilivyocheza kwenye Fainali ya Kombe la Mataifa ya Africa 1994,na uone wachezaji wa nyota was Nkana (in bold) walivyopambana kiume na nyota wa Nigeria.
Nigeria: Peter Rufai,Uche Okwechukwu,Uche Okafor,Ben Iroha,Augustine Eguavoen,Emmanuel Amunike, Austin 'Jay Jay' Okocha,Sunday Oliseh (captain wa ukweli)Finidi George,Daniel Amokachi na Rashid Yekini.Benchi walikuwepo Samson Siasia,Nduka Ugbade,kijana Mutiu Adepodju,n.k
Mwaka huo Rashid Yekini(RIP) ndo alikuwa mchezaji bora wa AfCON.Atakumbukwa zaidi kwa yale ma-acrobatics yake ("tik - tak") kama ya Ibrahim 'Cadabra' Ajibu.Maana Yekini alikuwa anayapiga sana hadi kero.
Zambia:James Phiri,Harrison Chongo,Elijah Litana,Mordon Malitoli,Aggrey Chiyangi,Mathias Mulenga,Evans Sakala,Kenneth Malitoli,Joel Kangwa Bwalya,Zeddy Saileti,na mtaamu mwenyewe Kalusha Bwalya.Huku benchi akiwepo Linos Makwaza,Johnson Bwalya,n.k (na hawa akina Bwalya we wasikie tu!..Naamini mmoja mlimwona juzi kule Kitwe,na Jumapili atakuwepo).
Simba iliingia uwanjani siku hiyo ikiwa na lengo la kufika mbali na kufuta mashabiki wao machozi,kutokana na kadhia ya kufungwa kwenye fainali ya kombe la CAF. "Washkaji" wengi wa kijiwe chetu cha Squad pale mitaa ya Wailes,Temeke mwisho na Kitomondo tulikuwepo kuwatazama Masela wenzetu akina George Masatu,Ramadhan Lenny (RIP),Edward Chumila,na George Lucas "Gazza" wakiwapiga 2 - 1 Nkana FC.
Pale kijiweni (maskani) kwetu SQUAD ndo wazamiaji wengi/mabaharia walipokuwa wakitokea,wengi walizamia kwenda Italy (mfano;Salum Mnyusi aliyefia Cicily,Italy mwaka 1998),Spain,Greece,nk.Hapo story zilikuwa za Ulaya Ulaya tu,kando ya hapo ni Soka.Na wahudhuriaji wa kijiwe hiki waliokuwa wachezaji wa Simba,akina Lenny,Chumila,Masatu,Fikiri Magoso,nk walikuwa wakitupa story za soka,has a zile mechi zao za CAF walizocheza nje ya nchi.Na walikuwa wameahidi LAZIMA WAWAPIGE NKANA!Na ndivyo walivyofanya kwa kuwalamba 2 - 1 home,ingawa walienda kufungwa 4 - 1 kule Kitwe,Zambia kwenye mechi ya marudiano.Ramadhani Lenny alitueleza magoli yale 4 yalitokana na 'figisu' kibao walizofanyiwa ndani na nje ya uwanja.
NINI NATAKA KUSEMA HAPA?
1.Simba ya leo inafanana kiasi na Simba ya 1994 ila Nkana FC ya leo haifanani na Nkana ya 1994,ndo maana waliishia kuifunga Simba 2 - 1 juzi (hii si kawaida kwa Nkana wawapo kwenye "machinjio" yao ya Kitwe).
2.Kuna marekebisho machache yanapaswa yafanywe na benchi la ufundi ili kuifanya Simba ya jumapili,iwe kama/zaidi ya ile Simba ya 1994.Nashukuru kocha Patrick Aussems ameshayashughulikia mapungufu mengi ya mechi iliyopita.
3.Keshokutwa jumapili Simba itashinda na kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Kama huamini hili...rudia kusoma maelezo yangu ya utangulizi - Simba haijawahi kufungwa au kutoa droo na Nkana Red Devils kwenye home soil,na record hii itaendelezwa keshokutwa.Nkana wanaijua habari hii,na ndo maana mashabiki wao hawakufurahia matokeo yale,wachezaji wao walinyong'onyea mno,ndo maana Hassan Kessy akavaa Uzambia na kuwatia moyo wenzake (Huyu ndo alikuwa motivated baada ya mechi ukilinganisha na wenzake).
All of the best odds are with Simba,and the bad omen with Nkana FC plus their Zambian brothers from "the Desert".
Mnyamaaaaaaaaaa...πΉπΉπΉ
Asante.Nimekusoma mkuu.K
Kusahihisha mwaka 1994 mechi ya kwanza Simba alianzia Zambia ambapo alifungwa 4-1. Mechi ya marudiano Taifa Simba alishinda 2-0 na sio 2-1. Mpaka Half Time Simba walikuwa wanaongoza 2-0 . likawashinda goli la tatu kipindi cha pili.
Huo ndo mkweche wao?Naona mnataka muwauzie Azam ugomvi usiowahusu,bakini nyinyi Yanga ambao ghafla tu mmeanza kuipenda jezi nyekundu na nyeupe.Kila lakheri Nkana FcView attachment 974086
Simba 0 - 2 NkanaHuo ndo mkweche wao?Naona mnataka muwauzie Azam ugomvi usiowahusu,bakini nyinyi Yanga ambao ghafla tu mmeanza kuipenda jezi nyekundu na nyeupe.
Ndugu hii mechi siyo kwamba ilianzia Dar simba akashinda 2-1 kisha marudiano simba wakafungwa 4-1kama sikosei?K
Kusahihisha mwaka 1994 mechi ya kwanza Simba alianzia Zambia ambapo alifungwa 4-1. Mechi ya marudiano Taifa Simba alishinda 2-0 na sio 2-1. Mpaka Half Time Simba walikuwa wanaongoza 2-0 . likawashinda goli la tatu kipindi cha pili.
Utakuwa unaongelea ya 2000s simba ya Siang'a ilifingwa Zambia 4-0 marudiano Dar simba akashinda 3-0 ikatolewa kwa hilo goli unalosema weweK
Kusahihisha mwaka 1994 mechi ya kwanza Simba alianzia Zambia ambapo alifungwa 4-1. Mechi ya marudiano Taifa Simba alishinda 2-0 na sio 2-1. Mpaka Half Time Simba walikuwa wanaongoza 2-0 . likawashinda goli la tatu kipindi cha pili.
kama nilikuona kule kwenye jukwaa la kusimama...Zingatia:Kabla sijaenda mbali zingatia hili-katika mara zote walizokutana Simba SC haijawahi kuifunga Nkana au kutoa droo pale Kitwe,Zambia.Halikadhalika NKANA HAIJAWAHI KUIFUNGA au KUTOA DROO NA SIMBA HAPA NYUMBANI,TANZANIA.Nkana amekuwa akisonga mbele kutokana na kufunga magoli mengi akiwa kwenye "machinjio" yake ya Kitwe.
Mwaka 1994 nilikuwepo Uwanja wa Taifa wa zamani,siku hizi mnauita Uwanja wa Uhuru,kwenye mtanange wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba vs Nkana Red Devils.Enzi hizo Nkana ilikuwa timu hatari kule Zambia sambamba na Mufulira Wonderers,hawa akina Zanako sijui Zesco tumeanza kuwasikia juzi juzi tu.
Ikumbukwe,Simba hii ya mwaka 1994 ilikuwa imeingia kwenye Robo Fainali ya mashindano hayo ya CAF Champions League.Na mwaka mmoja nyuma,1993,ilikuwa imecheza Fainali ya kombe la Shirikisho CAF na kufungwa na Stella Abdjan ya Ivory Coast.Simba ya miaka hiyo ilikuwa moooto wa kuotea mbali ikiwa na wachezaji mahiri kama Mohammed Mwameja,Kasongo Athumani,Deo Mkuki,George Masatu,akina Malota Soma "Ball Juggler" ,Edward 'Edo' Chumila,n.k.
Simba hiyo haikucheza na Nkana FC ya kitoto,bali ilikuwa Nkana π₯ vile vile.Ilikuwa na wachezaji nyota kama Joel Kangwa Bwalya,Mathias Mulenga,Harrison Chongo,Mordon Malitoli na mdogo wake Kenneth Malitoli (captain).Nyota hao wa Nkana Red Devils walikuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya Zambia,kilichocheza fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Nigeria mwaka huo wa 1994,na Super Eagles kubeba kombe kwa ushindi wa magoli Nigeria 2 - 1 Zambia,magoli yote mawili ya Nigeria yakifungwa na mchezaji hatari EMMANUEL AMUNIKE (huyu huyu tunayemdharau leo hapa Bongo),huku lile la Zambia likifungwa na beki ELIJAH LITANA.
Hebu tazama vikosi vikali vilivyocheza kwenye Fainali ya Kombe la Mataifa ya Africa 1994,na uone wachezaji wa nyota was Nkana (in bold) walivyopambana kiume na nyota wa Nigeria.
Nigeria: Peter Rufai,Uche Okwechukwu,Uche Okafor,Ben Iroha,Augustine Eguavoen,Emmanuel Amunike, Austin 'Jay Jay' Okocha,Sunday Oliseh (captain wa ukweli)Finidi George,Daniel Amokachi na Rashid Yekini.Benchi walikuwepo Samson Siasia,Nduka Ugbade,kijana Mutiu Adepodju,n.k
Mwaka huo Rashid Yekini(RIP) ndo alikuwa mchezaji bora wa AfCON.Atakumbukwa zaidi kwa yale ma-acrobatics yake ("tik - tak") kama ya Ibrahim 'Cadabra' Ajibu.Maana Yekini alikuwa anayapiga sana hadi kero.
Zambia:James Phiri,Harrison Chongo,Elijah Litana,Mordon Malitoli,Aggrey Chiyangi,Mathias Mulenga,Evans Sakala,Kenneth Malitoli,Joel Kangwa Bwalya,Zeddy Saileti,na mtaamu mwenyewe Kalusha Bwalya.Huku benchi akiwepo Linos Makwaza,Johnson Bwalya,n.k (na hawa akina Bwalya we wasikie tu!..Naamini mmoja mlimwona juzi kule Kitwe,na Jumapili atakuwepo).
Simba iliingia uwanjani siku hiyo ikiwa na lengo la kufika mbali na kufuta mashabiki wao machozi,kutokana na kadhia ya kufungwa kwenye fainali ya kombe la CAF. "Washkaji" wengi wa kijiwe chetu cha Squad pale mitaa ya Wailes,Temeke mwisho na Kitomondo tulikuwepo kuwatazama Masela wenzetu akina George Masatu,Ramadhan Lenny (RIP),Edward Chumila,na George Lucas "Gazza" wakiwapiga 2 - 1 Nkana FC.
Pale kijiweni (maskani) kwetu SQUAD ndo wazamiaji wengi/mabaharia walipokuwa wakitokea,wengi walizamia kwenda Italy (mfano;Salum Mnyusi aliyefia Cicily,Italy mwaka 1998),Spain,Greece,nk.Hapo story zilikuwa za Ulaya Ulaya tu,kando ya hapo ni Soka.Na wahudhuriaji wa kijiwe hiki waliokuwa wachezaji wa Simba,akina Lenny,Chumila,Masatu,Fikiri Magoso,nk walikuwa wakitupa story za soka,has a zile mechi zao za CAF walizocheza nje ya nchi.Na walikuwa wameahidi LAZIMA WAWAPIGE NKANA!Na ndivyo walivyofanya kwa kuwalamba 2 - 1 home,ingawa walienda kufungwa 4 - 1 kule Kitwe,Zambia kwenye mechi ya marudiano.Ramadhani Lenny alitueleza magoli yale 4 yalitokana na 'figisu' kibao walizofanyiwa ndani na nje ya uwanja.
NINI NATAKA KUSEMA HAPA?
1.Simba ya leo inafanana kiasi na Simba ya 1994 ila Nkana FC ya leo haifanani na Nkana ya 1994,ndo maana waliishia kuifunga Simba 2 - 1 juzi (hii si kawaida kwa Nkana wawapo kwenye "machinjio" yao ya Kitwe).
2.Kuna marekebisho machache yanapaswa yafanywe na benchi la ufundi ili kuifanya Simba ya jumapili,iwe kama/zaidi ya ile Simba ya 1994.Nashukuru kocha Patrick Aussems ameshayashughulikia mapungufu mengi ya mechi iliyopita.
3.Keshokutwa jumapili Simba itashinda na kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Kama huamini hili...rudia kusoma maelezo yangu ya utangulizi - Simba haijawahi kufungwa au kutoa droo na Nkana Red Devils kwenye home soil,na record hii itaendelezwa keshokutwa.Nkana wanaijua habari hii,na ndo maana mashabiki wao hawakufurahia matokeo yale,wachezaji wao walinyong'onyea mno,ndo maana Hassan Kessy akavaa Uzambia na kuwatia moyo wenzake (Huyu ndo alikuwa motivated baada ya mechi ukilinganisha na wenzake).
All of the best odds are with Simba,and the bad omen with Nkana FC plus their Zambian brothers from "the Desert".
Mnyamaaaaaaaaaa...πΉπΉπΉ
Nimeandika jina lako pemben ole wako nikuone jfKAMA SIMBA ITAITOA NKANA FC SIKU YA JPILI BASI MM NITAJITOA HAPA JAMII FORUMS.. KWA NILIVYOONA GAME YAO.. WALE JAMAA WAKO WELL ORGANIZED, WELL TRAINED, WELL MOTIVATED... Pia jamaa wanaweza kutandaza soka safi lisilo na figisu zozote... VIUNGO WAO WOTE NI BORA KULINGANISHA NA HAWA WA SIMBA FC.. TUUJADILI MPIRA SIO HISTORIA...
Anaweza kubadili I'd mkuuNimeku-take note mkuu S A Ngolilo,nitafatilia kuona kama kweli umejitoa hapa JF baada ya J'pili,maana hao Nkana watafungika tu.
Hakikisha unaleft mkuu.Usije kwenda kujificha jukwaa la elimu au mapishi.
kama nilikuona kule kwenye jukwaa la kusimama...

πππ Mimi nilikuona kabisa.Ni kweli nilikuwa kule kwenye jukwaa la kusimama au kukaa kwenye vyuma,kule yalikokuwa matangazo(mabango) ya Hedex,Scania,na Kodak.kama nilikuona kule kwenye jukwaa la kusimama...
Tutafutane kesho 12 jioniHaya ni matokeo ya kule kitwe mzee subiri moto wa Mnyama jumapili
Simba nguvu moja
Ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kama nilikuona kule kwenye jukwaa la kusimama...
Ujui kua mashabiki wa Yanga ni wachache kuliko wa simba, ni lini mashabiki wa Yanga mliweza kuujaza uwanja kwenye mechi yenu?"Brother's from the desert" hapo umejikwaa...mara ngapi mlijazana Taifa kushangilia wageni??? mechi ya TP Mazembe Manji aliondoa viingilio cha ajabu Mikia walijazana toka asubuhi..angalia mechi zenu watu wa Yanga hawana tabia ya kujazana uwanjani kushangilia labda "wakuja" wachache...The citizen
Hapa naona historia inafanya kazi. Kwenye ubishani na Yanga, historia haina maana.Zingatia:Kabla sijaenda mbali zingatia hili-katika mara zote walizokutana Simba SC haijawahi kuifunga Nkana au kutoa droo pale Kitwe,Zambia.Halikadhalika NKANA HAIJAWAHI KUIFUNGA au KUTOA DROO NA SIMBA HAPA NYUMBANI,TANZANIA.Nkana amekuwa akisonga mbele kutokana na kufunga magoli mengi akiwa kwenye "machinjio" yake ya Kitwe.