Kuelekea Jumapili:Kumbukumbu yangu ya Simba SC vs Nkana FC mwaka 1994.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kweli history ni mwalimu mzuri sanaaaa
Mwanafalsafa wa zamani wa China aitwaye Confusius aliwahi kusema:"If you want to understand the future,you must study the past [history]" yaani "Ikiwa unataka kuelewa mambo yajayo,ni lazime uyasome/ujifunze/uyachungunguze mambo yaliyopita ya zamani".

Nasikitika kuna watu ukiwaambia mambo ya historia huyakataa.
 
Simba wameshinda,jitoe ahadi ni deni
 
Tumia akili japo kidogo mpira kuna matokea matatu
 
Mbona bado uko online
 
Mkuu upo au umeshajitoa?
 
Nadhiri daima iepuke, ni majuto usipoitimiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…