Kuelekea K/koo Derby | Simba SC: TFF Kama Itawapendeza Watuletee Kombe la (VPL) Uwanja wa Mkapa

Kuelekea K/koo Derby | Simba SC: TFF Kama Itawapendeza Watuletee Kombe la (VPL) Uwanja wa Mkapa

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kuelekea mchezo wa VPL ambapo Watani wa Jadi Tanzania (Kariakoo Derby) Simba SC dhidi ya Yanga SC mchezo ambao utapigwa Jumamosi ya July 3, 2021. Klabu ya Simba imeliomba Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kuwa, kama kuna uwezekano wapelekewe kombe lao la VPL katika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya mchezo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Haji Manara amesema, wano wanaamini kuwa tayari ni Mabingwa wa VPL, kutokana na kuwaacha mbali watani wao kwa Alama na Mbao ya kufunga.

Ni mara chache kukutana na mazingira ambayo mmoja akishinda anachukua ubingwa, sikumbuki kama iliwahi kutokea labda mwaka 1985 ambapo Simba akishinda anachukua ubingwa na Yanga akishinda anachukua ubingwa.

Mechi ya Jumamosi ukiangalia hesabu wenzatu wakipata sare wanakuwa na ukomo wa alama 74 ambazo sisi tutakuwa nazo, Simba ili ikose ubingwa afungwe mechi zote 4 na Yanga washinde zote 2 tena na mabao ya kufunga yasiopungua 29, kitu ambapo katika hesabu za kawaida haiwezekani.

Kimsingi kombe la ubingwa lipo mikononi wa Simba, matarajio yetu ni kushinda mchezo wa Jumamosi na kutangazwa Mabingwa wa Nchi ili kuwapa furaha Wanasimba.
 
Kuelekea mchezo wa VPL ambapo Watani wa Jadi Tanzania (Kariakoo Derby) Simba SC dhidi ya Yanga SC mchezo ambao utapigwa Jumamosi ya July 3, 2021. Klabu ya Simba imeliomba Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kuwa, kama kuna uwezekano wapelekewe kombe lao la VPL katika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya mchezo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Haji Manara amesema, wano wanaamini kuwa tayari ni Mabingwa wa VPL, kutokana na kuwaacha mbali watani wao kwa Alama na Mbao ya kufunga.
Naunga mkono hoja.na kama ikiwezekana makombe yote ya misimu mitano ijayo wapewe Simba manake kwa Simba hii na ijayo akuna wa kuitisha.
 
Senzo mbatha mazingiza mtu mbad,sipati picha pale jangwani,rais manji,CEO senzo,wawekezaji gsm,rostam na mmoja yuko pending ila akija kutoka hadharani atashtua jamii,leo kashtua kidogooo tu pale serena
 
Back
Top Bottom