Kuelekea Kariakoo Dabi, Mwigulu atoa utabiri wake - "Mechi itakuwa ngumu, Yanga unaifungaje?

Kuelekea Kariakoo Dabi, Mwigulu atoa utabiri wake - "Mechi itakuwa ngumu, Yanga unaifungaje?

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mechi ya watani wa jadi huwa ni mechi ya wakubwa inaheshima yake na kwa ukubwa ulele huwa autabiriki. Matokeo yanapatikanaga baada ya filimbi ya mwisho ndiyo inajulikana nani ameshinda.

Lakini kwa kiu najuwa Simba watakuwa na kiu kubwa sana ya kushinda mechi hiyo na kwa kweli najuwa mechi itakuwa ngumu sana kwa sababu wameshapoteza mara 3. amesema
Mwigulu

Video: Wasafi TV
 
Back
Top Bottom