Eti Mikia wana ubora kuliko Yanga,kweli wewe ni Mbumbumbu au kisa kamfunga Ally Ahly?mmesahau kabisa zile Hamsa+Hamsa kwa match mbili.Kesho kutakuwa na mechi kali kati ya watani wa jadi yaani Yanga na Simba. Kwa ushauri wangu nakuomba upange timu mahiri yenye kuzuia akina Okwi, Kagere, Bocco, Chuma n.k. Kamwe siku ya kesho usimpange Chikupe. Huyu beki ni mfupi na hana mbio kabisa. Ukimpanga hapa ndiyo itakuwa upenyo wa magoli. Badala yake umpange Ninja. Kila la kheri najua kesho mechi itakuwa kali sana ingawaje Simba wana ubora kuwazidi Yanga.
Golini akae nani??atakayepigwa goli 7 au atakayepigwa goli 5?Kesho kutakuwa na mechi kali kati ya watani wa jadi yaani Yanga na Simba. Kwa ushauri wangu nakuomba upange timu mahiri yenye kuzuia akina Okwi, Kagere, Bocco, Chuma n.k. Kamwe siku ya kesho usimpange Chikupe. Huyu beki ni mfupi na hana mbio kabisa. Ukimpanga hapa ndiyo itakuwa upenyo wa magoli. Badala yake umpange Ninja. Kila la kheri najua kesho mechi itakuwa kali sana ingawaje Simba wana ubora kuwazidi Yanga.
Mshaandaa matokeo yenu ya mfukoni ila yakiwa kinyume tafadhalini sana msing'oe viti Uwanjani.
mbao,mashujaa wawe na uwezo wa kuukata mkia,Yanga umoja wa mataifa nd asiwe nao?Nyie jipeni moyotu. Ila ualisia mnajua kwamba yanga uwezo wakumfunga simba hawana.
Hongereni mkuu...mlijitahidi sana mkapata kipigo cha goli moja tu...sahivi ngebe na kelele zote zimeisha mnaugulia maumivuMshaandaa matokeo yenu ya mfukoni ila yakiwa kinyume tafadhalini sana msing'oe viti Uwanjani.
Sent using Jamii Forums mobile app