ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ikiwa huyu mzee wetu ataelekea kwenye fainali hii kule Kigoma ninashauri apatiwe ulinzi binafsi either Yanga au Kamati ya ulinzi na usaĺama ya mkoa wabebe jukumu hili
Huenda ikatokea mzee wetu huyu usalama wake ukawa hatarishi baada ya matokeo yamechi hiyo ya fainali
Ninahisi matokeo yoyote yale yanaweza mtia matatani huyu mzee endapo klabu yake itashinda au kupoteza,na hii yote itasababishwa na ahadi pia vibe aliloliamsha tokea mchezo wa mwisho Simba na Yanga.
Ninawasilisha.