ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ikiwa huyu mzee wetu ataelekea kwenye fainali hii kule Kigoma ninashauri apatiwe ulinzi binafsi either Yanga au Kamati ya ulinzi na usaĺama ya mkoa wabebe jukumu hili
Huenda ikatokea mzee wetu huyu usalama wake ukawa hatarishi baada ya matokeo yamechi hiyo ya fainali
Ninahisi matokeo yoyote yale yanaweza mtia matatani huyu mzee endapo klabu yake itashinda au kupoteza,na hii yote itasababishwa na ahadi pia vibe aliloliamsha tokea mchezo wa mwisho Simba na Yanga.
Ninawasilisha.
Aende Burundi tu.. Nauli akachukue kwa ChembaVipi unaweza kujitolea kumpa ulinzi mkuu
Mkuu,huyu mzee Mpili ni wa muda mfupi tu kisha atapotea kama alivyopotea Pierre liquid,umaarufu wake hauna misingi imara,Manara yupo na ataendelea kuwepo.Mzee Mpili anakwambia,"sisi tuna watu",mimi shabiki wa Simba ila hamasa za mzee Mpili nazikubali sana,Manara kapata changamoto alikua anatamba yeye tu.
Muda nitakua sina na hata weledi wa ulinzi sinaoVipi unaweza kujitolea kumpa ulinzi mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hasira za miamala hiziVipi unaweza kujitolea kumpa ulinzi mkuu
Tusubiri uwenda ikawa kama unavyosema,kwasababu hatujui msimu ujao Yanga watamtumia vipi mzee Mpili hasa kwenye hamasa.Mkuu,huyu mzee Mpili ni wa muda mfupi tu kisha atapotea kama alivyopotea Pierre liquid,umaarufu wake hauna misingi imara,Manara yupo na ataendelea kuwepo.
Watu tumechoka! Na tunaambiwa tuhamie Burundi😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hasira za miamala hizi