Kuelekea kumalizika kwa mwaka wanastahili tuzo za Muziki wa Bongofleva

Kuelekea kumalizika kwa mwaka wanastahili tuzo za Muziki wa Bongofleva

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Mpaka sasa yamefanyika mengi katika muziki wa Tanzania, wafuatao kwa maoni yangu naona wanastahili kupata tuzo kutokana na mchango wao katika muziki ndani mwaka 2014 ambao kimuziki ndo kama umeisha hivyo

1. Wimbo bora wa Mwaka-----------Nitajuta by Ya moto Band

2. Wimbo bora wa kushirikishana ----------- Kipi sijasikia by Prof J Ft Diamond

3. Kundi Bora la mwaka--------------- Ya moto Band

4. Video bora ya Mwaka----------------- Mdogomdogo by Dimond "chibu Dangote"

5. Msanii bora Chipukizi---------------- Marombosso (Ya Moto Band)

6. Wimbo bora wa HipHop---------- I see Me by Joh Makini

7. Mwanamuziki bora wa Hiphop---------- Young Killer

8. Hall of fame-------Dully Sykes

9.Msanii bora wa kike------- Vanessa mdee"V money"

10. Wimbo bora kwa wasanii wa kike------- Come over by Vanessa mdee

11. Mtunzi bora wa kiume------Ally kiba (mwana-Daresalaam)

12.Wimbo bora wa Afro Pop------Mdogomdogo by Dimond platnumz

13. Rmx Bora-----kizaizai Linah Ft Dimond

14. Msanii aliyefanya Vizuri Zaidi---Dimond Platnumz

Naamini asilimia 90 ya prediction yangu itakuwa kama ilivyotajwa hapo mwakani...nawasilisha
 
Hiyo kwenye Remix bora ni category mpya? Labda useme wimbo bora wa kushirikiana ambao kimsingi lazima wachukue Christian Bella na Ommy Dimpoz kwenye Nani kama Mama!

Wimbo bora wa Hip Hop ni bongo Hip Hop ya Fid q na Msanii bora wa Hip Hop ni Fid q!

Young Killer hawezi kuwa Msanii bora wa Hip Hop!

Video ya Mwaka hapo Diamond anaweza kuchuana na Dimpozi na Rich mavoko!

Msanii bora wa kike ni Lady jayeed
 
Kwann unasema yaoung killer hawezi kuwa msanii bora wa hiphop hiyo ngoma ya Fid Q ni nzuri ila haijatamba kama vibao alivyoachia killer mwaka huu
 
Nyimbo bora ya mwaka pacha wangu rich mavoko msanii bora wa kike lady jay dee video bora ya mwaka pacha wangu rich mavoko kundi bora weusi Collabo bora christian Bella ft ommy dimpoz
 
umeona hapo mkuu.
Huo wimbo ni sheeeedaaaahhhh. Nausikiliza hata mara 10 kwa siku

Ukizungumzia wimbo bora wa mwaka kwa kweli Nitajuta wa Ya moto Band sioni kama una mpinzani..

Na hata wimbo bora wa kushirikiana kuna nyimbo kama mfalme wa Mwana Fa Ft Gnako
 
wmbo bora wa mwaka mo music-bac nenda
kikund bora-ya moto
msanii anaechepukia-mo music
wmbo bora wa kushrkiana
sheta na diamond
 
Kwann unasema yaoung killer hawezi kuwa msanii bora wa hiphop hiyo ngoma ya Fid Q ni nzuri ila haijatamba kama vibao alivyoachia killer mwaka huu

young killer nae nae anaweza kuchukua tuzo umshindanishe na fid q? labla waandaaji wawe clauds fm
 
Hiyo kwenye Remix bora ni category mpya? Labda useme wimbo bora wa kushirikiana ambao kimsingi lazima wachukue Christian Bella na Ommy Dimpoz kwenye Nani kama Mama!

Wimbo bora wa Hip Hop ni bongo Hip Hop ya Fid q na Msanii bora wa Hip Hop ni Fid q!

Young Killer hawezi kuwa Msanii bora wa Hip Hop!

Video ya Mwaka hapo Diamond anaweza kuchuana na Dimpozi na Rich mavoko!

Msanii bora wa kike ni Lady jayeed

Kyoma,ntatofautiana nawe kwenye msanii bora wa hip hop,kwa mwaka huu Young Killer msodoki handsome asiye na matunzo kawafunika mbali wasanii wote wa hip hop.Wimbo bora wa hip hop nampa kura Young killer kwa wimbo "Umebadilika" ft Banana.
 
Attachments

  • 10537938_666604470092378_1940213956_n.jpg
    10537938_666604470092378_1940213956_n.jpg
    65 KB · Views: 137
young killer nae nae anaweza kuchukua tuzo umshindanishe na fid q? labla waandaaji wawe clauds fm

Tatizo nyie mnaangalia wimbo mmoja wa miez miwili iliyopita ndio huohuo mnakariri. Young kila kafunika mwaka mzima tofauti na fid q aliyekua kimya mda mrefu hivyo tuzo inamhusu sana killer.

Ukiniuliza nani mkali kati ya fid q na killer nani mkali kwa ujumla wake nitakwambia Ngosha anatisha. Ila kwa msimu huu naomba mumtende haki handsome asiye na matunzo kwani hii miaka 2 ilikua ni wa kwake otherwise mtakua mnachagua kwa kukariri majina.
 
Ila young killer anahitaji apewe tuzo
 
Back
Top Bottom