Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ushanipata nipo ujue ila kule nimepoteza my device,nitakucheki pm
Ndio maana..........., poa nakusubiria
Nisubiri na mimi..
Tatizo nyie mnaangalia wimbo mmoja wa miez miwili iliyopita ndio huohuo mnakariri. Young kila kafunika mwaka mzima tofauti na fid q aliyekua kimya mda mrefu hivyo tuzo inamhusu sana killer.
Ukiniuliza nani mkali kati ya fid q na killer nani mkali kwa ujumla wake nitakwambia Ngosha anatisha. Ila kwa msimu huu naomba mumtende haki handsome asiye na matunzo kwani hii miaka 2 ilikua ni wa kwake otherwise mtakua mnachagua kwa kukariri majina.
wmbo bora wa mwaka mo music-bac nenda
kikund bora-ya moto
msanii anaechepukia-mo music
wmbo bora wa kushrkiana
sheta na diamond
Umeona eee ..halafu mwaka huu ngoma za hiphop nyingi zimezimwa na vijana
we unazingua..........
Ukizungumzia wimbo bora wa mwaka kwa kweli Nitajuta wa Ya moto Band sioni kama una mpinzani..
Na hata wimbo bora wa kushirikiana kuna nyimbo kama mfalme wa Mwana Fa Ft Gnako