Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Wakuu Habari zenu?
Kuna mwaka nilisimamia uchaguzi mkuu wa ngazi ya raisi, ubunge na udiwani mkoa fulani,nilichokiona nikaona vizuri chadema mkafanyia kazi kwenye mawakala wenu ni vitu vidogo ila vizuri mkatilia mahanani.wanatiaga huruma sana hawa mawakala wenu.
Ushauri wangu wale wakala wenu muwaletee chakula(chipsi kuku(kuku anakuwa kuku mzima), maji na kuwepo na watu wanaozunguka kuulizia wanaendeleaje hapo kwenye vituo vyao sio tu mmewapa hela ndio basi.maana asipokunywa chai nyumbani kwake basi siku mzima anashinda bila kula. Mara nyingi hata nje hawatoki kwenda kununua chakula wanaogopa kuibiwa kura.
Kama hamna watu wakusambaza chakula kwa mawakala wenu basi waambieni raia wajitolee wawapelekee chakula na maji ikifika saa saba kamili kwenye kila kituo chakupigia kura.
Nilichokiona ni hivi CCM wanafanya hivi, kuna watu wapo na magari wanapeleka vyakula (chipsi kuku mzima) na maji makubwa ya Kilimanjaro kwenye vituo vyote vya kupigia kula kwa mawakala wao na watu wanakuja kuwasalimia nakuwauliza unaendeleaje huko kuna tatizo mpaka saizi?
Swala la msosi ni muhimu sana mawakala wa chadema wanashinda kuanzia asubuhi mpaka Usiku au mpaka siku inayofata hawali kitu chochote (wanafunga bila maombi) mpaka midomo inawakauka kwenye chumba cha kupigia kura unamuonea huruma unamkalibisha njoo tule.
Mawakala wa CCM hawakalibishi mtu utakula kwa macho tu hapo.
mawakala ndio muhimu sana bila hivyo hizo campaign hazina maana.unatumia gharama kubwa kwenye campaign halafu kwenye mlinzi wa kura zako unaacha tu bila walinzi na wala uthamini hivyo ni kazi bure tu.
Nilichokiona kuonesha kumjali wakala ni muhimu sana ata yeye anajiona unamjali anaweza kupigania kweli kweli kwenye kazi uliompa na yeye akiwa na matumaini na mimi nitafaidika kwa huyu naemlindia kura zake akishida maana ameonesha kunijali hivi.
Ni hayo tu wakuu.
Tukapige kura hiyo October 28 2020.mimi nitapiga kura.wewe je?
View attachment 1607834
View attachment 1607835
View attachment 1607837