stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Rais wa Marekani amewafukuza wanadiplomasia 60 wa Russia waliopo nchini humo na Rais wa baraza la Ulaya Donald Tusk amesema wanachama 14 wa umoja wa Ulaya utawafukuza wanadiplomasia wa Russia kwa kile alichodai kuunga mkono Uingereza ambao ndio walioanza kuwaondoa wanadiplomasia Russia kwa kile walichodai kushambulia kwa sumu jasusi wa zamani Russia na Uingereza Skripal pamoja na mwanae,
Imesadifu kuwa Marekani na washirika wake wanakabiliana na Russia nchini Syria na wakati huohuo wanavunja uhusiano wa kidiplomasia,tunaelekea vitani au vita vimeshaanza? tusubiri tuone!
Imesadifu kuwa Marekani na washirika wake wanakabiliana na Russia nchini Syria na wakati huohuo wanavunja uhusiano wa kidiplomasia,tunaelekea vitani au vita vimeshaanza? tusubiri tuone!