Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

They can't afford it.
 
Zoezi ni la muda mfupi, watu ni wengi halafu NIDA usajili kama kinyonga anatembea. Unapanga foleni asubuhi mpaka jioni na uhuduma haupati mpaka kesho utafikiri hauna kazi ya kufanya. Hilo zoezi lisingeweza kukamilika kwa muda walioweka. Wao wafunge
Waziri Nditiye Amesema hivyo baada ya kuona hali halisi huko Kigoma
 
MLIPOAMBIWA MABADILIKO YA KWELI ANAYO JPM,PIA MLIBISHA.

MLIPOAMBIWA JPM HANA URAFIKI,MLIBISHA.

MLIPOAMBIWA JPM ATA- DEAL NA MAFISADI HADI KIELEWEKE MLIBISHA.

MLIPOAMBIWA JPM ATAIRUDISHA TANZANIA KWENYE RIGHT TRACK PIA MLIBISHA,

HAYA WEWE ENDELEA KUPIGA RAMLI

LAKINI NDIO MWISHO WA MATAPELI WA MITANDAO YA SIMU UMEWADIA USIKU WA LEO!

[emoji1241][emoji818]2020 - 2025,JPM[emoji818]

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hazitafungiwa ila kuna kigogo atang'olewa kutokana na kushindwa kutetea takwa la kiongozi
 
Naunga mkono hoja kabisa. Mijitu mibishi tu, hebu ona mifano hii mkuu,
 
Kwa nini wasiwafungie NIDA kwa kushindwa kutekeleza wanatufungia sisi....???
Yaani wanafanya ishu inakuwa ngumu wakati ilikuwa rahisi sana....
1.USAJILI WA NIDA
2.USAJILI WA LINE
3.USAJILI ENDELEVU KWA WATEJA WAPYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafunga. 1.10 Wanafunga au Hawafungi (DC) 1.00
Hawafungi 3.80
Weka dau, lisizidi 10,000.
Note. Ukisema hawafungi na ikaonekana kweli hawajafunga, but ikatokea kuna hata mtu mmoja akafungiwa, utakuwa refunded 100% (na kinyume chake hivyo hivyo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…