Line yangu ya Haloteli imezimwa nusu saa iliyopita.
Hahahaaaa Kama walijipanga kweli wazime sasa labda wamepitiwa na usingizi mkuuUnakumbuka ya simu feki?
Jr[emoji769]
Kwani kipyenga tayari...!!??Kuna uwezekano yalikua maandalizi ya 2020!
Shithole kantri.
Ndio waache utani kwenye mambo ya msingi..Walikuwa wanatania kumbee, okaay!
Mamaeee kutishana tishana tuuKama una namba za Makonda mpigie simu aende na bunduki kabisa maana wafanyakazi wa TCRA watakuwa wamelala tu.
Nchi inaendeshwa kimasihara masihara hii. Ngoja tusubiri tamko asubuhi.
Hakuna loloteMnaosema hazijazimwa jaribuni kupiga msikie maneno.
Mi nimezimiwa huduma ya kupiga but inaandika ipo hewani kama kawa
Mi wamepita nayo line ya tigo, ipo hewani but haipigi