Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

Mi wamezima kweli, nikipiga inasema "Huwezi kupiga simu hii kwa sasa, laini yako imefungiwa kwa sababu haujakamilisha usajili wa laini yako kwa alama za vidole. Ili laini yako iweze kufunguliwa, tafadhali tembelea duka la tigo au agent wa tigo ukiwa na namba ya NIDA kukamilisha usajili." dwi dwi dwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…