Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
NIDA wanatuletea keroNIDA sio watu wazuri
Halotel wamefunga aisee. Ila Tigo inapiga kazi mpaka sasa.
NIDA walizima mtandao leo makusudiKazi kutushindisha kwenye mafoleni ya nida na mawakala shenzi kabisa nyie kumbe hamna uwezo wa kuzima na sisajili ng'o[emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halotel wamefunga aisee. Ila Tigo inapiga kazi mpaka sasa.
Nchi ya utani hii broKumbe ndio sababu hata threads za kimasihara zimekuwa nyingi humu aiaeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
*_BREAKING NEWS_*
MASHINE YA KUFUNGIA LAINI YA TCRA IMEIBIWA[emoji1321][emoji1321]
???