Zote nne zinapiga na kupokea bila shida yoyote.!Mnaosema hazijazimwa jaribuni kupiga msikie maneno.
Mi nimezimiwa huduma ya kupiga but inaandika ipo hewani kama kawa
Sasa wamefunga message inaingia kivipi?
Sasa wamefunga message inaingia kivipi?
Umeambiwa na line mojaSasa wamefunga message inaingia kivipi?
Uwe unajipigia yaan hapowamekuachia game za watotomkuu so msamuafaka na WATOTO WA enjoy SIMU zeti
HIOO AWAMU KWANGU WAMEANZA NAYI SIPIGI SITUMI.MSG HAPA NAJIPANGA NKAWAWEKE MAOMBI YA MFUNGO SIKU 21 WARUDISHE HURUMA ZAOOUkishapata hiyo sms ndo laini inasitishwa kuwa active.Zitazimwa kwa awamu kadri muda unavyoenda.
Sijaambiwa screenshot uliyoiweka ndo imesema hivyoUmeambiwa na line moja
Oooh means hioiliowekwa ishakwenda mkuu nasubiria HURUMA za TIGO ama NAHISI NIKO KWENYE makundi ya msamahaa ya MWISHO ngojanione leooSijaambiwa screenshot uliyoiweka ndo imesema hivyo
Yaani ujiandikishe mwezi huu upate mwezi wa pili ina maana kuna uchawi kidogo umetumia mkuu?wakati wengi tuliojiandikisha kuanzia mwezi wa nane mwaka Jana hatujapata kitu mpaka Leo.Hahahaaa hivi nyie watu mnataka nini badala kushukuru mnawatibua mav#&+@ tulieni bana ah.
Mimi NIDA wameniambia namba nitapata mwezi wa pili tarehe tatu tangu nijiandikishe mwanzo wa mwezi huu .
Waacheni jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wote mlikua wapiIFIKIE HATUA WATANZANIA TUWE NA HATMA YA MAISHA YETU MIKONONI MWETU. HIKI KIKUNDI CHA WALIOSHIBA MADARAKA KITALIANGAMIZA TAIFA
Walishindwa kuzima Simu fake ndo line watawezaTCRA ni kama mgambo Wa jiji Jana nimekutana na mgambo Wa jiji kanikuta nimeshika kuku pale kisutu sokoni akaniuliza shekhe Leo krismasi nikamjibu shekhe na krismas wapi na wapi? TCRA hawana hiyo teknology ya kuzima simu wameumbuka na kwa hili wametoa siri ya serikali haina access ya kuingia kwenye makampuni haya ya simu
HIV zile Simu fake walizizima
100% YES.Hv line ikizimwa WhatsApp si itaendelea kufanya kazi through WiFi?
Watazima tu