Matatizo ni mengi huko NIDA sasa Mimi najiuliza mbona kuna rundo la watu mkoa wa manyara wamejiandikisha tangu mwezi wa saba mwaka Jana si namba wala kitambulisho kilichotoka sasa nao watafungiwa laini zao?Hapa tatizo sio nida , tatizo ni serekali yenyewe haihitaji kuongeza ruzuku kwa nida ili nida waongeze vituo vingi vya uandikishaji , vituo vikiwa vingi zoezi linakua jepesi
Kilichobaki ni usumbufu tu kwa wananchi
Over.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlikuwa namtetea sana Makonda ila kwa upumbavu wake alioongea jana nmemdharau sana!Ila wanatupeleka puta hawa jamaa sijawahi ona. Ila Makonda sio mtu mwenye talanta ya uongozi kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa fikra zangu sio lazima usajili na kitambulisho cha Nida hata cha kupigia kula mh rais kaliona hilo.
Ahahaa acha uchocheziMimi bado sijazimiwa.... Ngoja nione kesho Kama watazima...
Yaan foleni nida itayeyuka kuanzia kesho Kama hawatozima
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kufungiwa kunawahusu zaidi wale mil 6 waliokwishapewa namba za NIDA mpaka sasa hawajajisajili na wale ambao hawakuwahi hata kujaza fomu za NIDA kuomba vitambulishoWatz ml22 wangezimiwa line.Sasa jiulize gawio la Vocha wangelipata wapi week hii yote...
Mkuu jaribu siku moja akili yako ifikirie na masuala ya utu japo kwa dak2. usikiache kichwa chako kufikiria Mambo ya Siasa tu.Hapa kuna nini. Anataka kugombea kitu huyu mtu?
Ndizi inanunua kura, hayo utayaona Tanzania pekee!
Akaze hivyo hivyo, tutafika tu.
Kwani ni nani aliyemchagua kuwa Rais wa nchi hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umelia sana.mkuu Mungu amekusikia kilio chako.Suala la NIDA. inawezekanaje mtu analala akiwa hajui hatma ya mawasiliano yake? Yaani watu wanakesha kama wanasubiri mwaka mpya. Hawajui kama watafungiwa au la!!
Hii inatisha sana kwa mustakabali wa taifa. Wakati wa kuandikisha wapiga kura na kutoa vitambulisho vya kupigia kura mnafika hadi kwenye kata. iweje hivi vya NIDA serikali ishindwe?
Kuna ulazima gani wa kufanya sasa kwamba lazima kila mtu ajisajili kwa kitambulisho cha NIDA ili hali mkijua hali halisi ilivyo!! Na sheria kandamizi eti ukimsajilia mtu naenda jela?
Ndugu zetu, wazazi wetu huko vijijini tutawasiliana nao vipi na tukiwasajilia huku mnatufunga?
IFIKIE HATUA WATANZANIA TUWE NA HATMA YA MAISHA YETU MIKONONI MWETU. HIKI KIKUNDI CHA WALIOSHIBA MADARAKA KITALIANGAMIZA TAIFA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bado ni hasara pia kubwa sana Ki uchumi...huwezi amka tu unafunga funga vitu.Nadhani kufungiwa kunawahusu zaidi wale mil 6 waliokwishapewa namba za NIDA mpaka sasa hawajajisajili na wale ambao hawakuwahi hata kujaza fomu za NIDA kuomba vitambulisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo sheria zitawanyoosha wote waliosajiliwa na wasiosajiliwa, mawasiliano hayachagui ukishamkosa mtu wako muhimu kisa hajajisajili ndio utajua hii sheria imemnyoosha nani?Wabongo tuache kulalamika mimi nilienda nida pale kinondoni mwaka 2018 mwezi wa 3 nilikuta kweupee hakuna watu nikajaza form nikakaa wiki nikaenda kupiga picha baada ya wiki 2 nikapata kitambulisho .. ukiwauliza watu miaka yote hiyo walikua wapi watakwambia foleni
Wacha sheria zitunyooshe tu aisee
Sent using Jamii Forums mobile app